Freeman Mbowe: Ni dhahiri sasa Serikali ya Rais Samia inarejesha Utawala wa mabavu usiothamini haki, Uhuru na Demokrasia

View attachment 2744983

Tunalaani ukamataji, unyanyasaji, usumbufu unaofanywa na Jeshi la Polisi na Vyombo vingine vya Dola kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama chetu Mhe Tundu Lissu, viongozi wengine waandamizi wa ngazi mbalimbali, wanachama na wapenzi wetu huko Mkoani Arusha.

Kwa uzito huo huo, tunalaani uzuiaji wa mikutano yetu na shughuli halali za kisiasa huko Ngorongoro, Loliondo na Karatu.

Tuna hofu kubwa ya usalama wa watu wetu na ni dhahiri sasa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan inarejesha Utawala wa mabavu usiothamini haki, Uhuru na Demokrasia. Tunafuatilia kwa karibu na tunadai kuachiliwa haraka na bila masharti kwa watu wetu wote!

Freeman Mbowe
Mtandao wa X

Pia soma: Breaking News: - Tundu Lissu akamatwa na Polisi akiwa Ngorongoro hotel Wilayani Karatu
At least Leo Polisi wametoa Taarifa Rasmi kwa umma.
 
Ndo kilichobaki........... na huko Ngorongoro wanaficha nini maana Wazungu walizuiwa kuongia Waandishi wa habari wakazuiwa kuingia Na Lissu anazuiwa kuingia
Tulia mkuu Mama anaupiga mwingi maana sasa hiv yupo nje ya 18 mpka afike kwe 6 hatari sana samia anapepea kama mwenge wake wachome haoooooo
 
Wewe ni Malaya
Unanipa cheo cha bibi zake Yesu, unamfahamu Tamari kwenye kizazi cha Yesu? Kwenye biblia wanasema alikuwa kahaba akalala na baba mkwe wake ndipo kikazaliwa kizazi cha Yesu. Astaghafiru Llah.

Nimeambiwa mila hiyo uchagani ipo mpaka leo, ya mabinti walioachwa na waume zao walioenda "porini" lazima walambwe na baba mkwe, wasilete mbegu za nje wakiwa na Kiranga.

Wachaga wakristo hapo ndipo wanapo nifurahisha, kufata mila na desturi za kwenye biblia.

Nimeambiwa hata mabinti wakikaa sana nyumbani bila kuolewa wanfata ile ya mabintiwa lutu, wanamnunulia baba yao debe la mbege, akikolea wanajishughulikia, yesha.

Wa afata bibilia to the dot. Hongera sana kwao.
 
Wewe ni malaya
 
Stupid
 
Huyu Samia ni wa kwenda nae sawa, ameshaonesha ushetani wake muda mrefu sana, sasa ni wakati wa kubadili aina ya siasa wanazofanya Chadema.

Ni kiongozi mweupe asiye na kitu kichwani, hata kama wakikaa nae wakaongea nae kwenye maridhiano, lakini anaonekana wazi wapo wanaomuendesha kama mdoli, huyu ni rahisi sana kwenda kinyume na makubaliano ya awali, wasimuamini.
 
View attachment 2744983

Tunalaani ukamataji, unyanyasaji, usumbufu unaofanywa na Jeshi la Polisi na Vyombo vingine vya Dola kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama chetu Mhe Tundu Lissu, viongozi wengine waandamizi wa ngazi mbalimbali, wanachama na wapenzi wetu huko Mkoani Arusha.

Kwa uzito huo huo, tunalaani uzuiaji wa mikutano yetu na shughuli halali za kisiasa huko Ngorongoro, Loliondo na Karatu.

Tuna hofu kubwa ya usalama wa watu wetu na ni dhahiri sasa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan inarejesha Utawala wa mabavu usiothamini haki, Uhuru na Demokrasia. Tunafuatilia kwa karibu na tunadai kuachiliwa haraka na bila masharti kwa watu wetu wote!

Freeman Mbowe
Mtandao wa X

Pia soma: Breaking News: - Tundu Lissu akamatwa na Polisi akiwa Ngorongoro hotel Wilayani Karatu
Kila Ubaya Utalipwa
 
Serikali inayojialalisha kutawala kwa kutumia bunduki ukomo wake hautabiriki. Jenerali Brice Oligui Nguema alikuwa Commander wa Presidential Guard ya Rais Ali Bongo wa Gabon, sote tunajua kilichotokea. Siku hawa wenye bunduki wakimchoka watageuzia mitutu kwake. Hicho kinachofichwa Ngorongoro na Loliondo ni Bora kingeliwekwa wazi, kuliko kupoka Demokrasia na kuanza kutisha watu.
 
Uliona wapi maskini anamuadhiri tajiri?

Tatizo la uvccm mnajifanyaga mnaijua sana CCM

Bure kabisa!
Hamna unachojuwa wewe kuhusu Mbowe. Unaniita UVCCM wakati nina umri kama Mbowe. Najuwa hakusoma na aliishia kuwa karani BOT. Hiyo ni fact ukiipinga leta mabandiko hapa yanayoinyesha alikuwa ofisa
 
Umeisoma Katiba vizuri? CCM mlivyokuwa wajinga mnadhani mikutano ya siasa ni hisani , hapana ni hitaji la katiba. Pia tambua Ngorongoro ni Tanzania sio Rwanda.
Mikutano ni takwa la katiba lakini katiba hiyo hiyo inasisistiza kufuata sheria mbalimbali za nchi. Umeambiwa usiende Ngorongoro ila wewe unataka sifa kuwa sijui ni mpigania haki? Haki za nani? Za waliokutuma toka Ubelgiji?
 
Chadema imekwatwa shingo na mabega imebaki na mbowe mlamba asali ya bibi yenu
 
View attachment 2744983

Tunalaani ukamataji, unyanyasaji, usumbufu unaofanywa na Jeshi la Polisi na Vyombo vingine vya Dola kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama chetu Mhe Tundu Lissu, viongozi wengine waandamizi wa ngazi mbalimbali, wanachama na wapenzi wetu huko Mkoani Arusha.

Kwa uzito huo huo, tunalaani uzuiaji wa mikutano yetu na shughuli halali za kisiasa huko Ngorongoro, Loliondo na Karatu.

Tuna hofu kubwa ya usalama wa watu wetu na ni dhahiri sasa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan inarejesha Utawala wa mabavu usiothamini haki, Uhuru na Demokrasia. Tunafuatilia kwa karibu na tunadai kuachiliwa haraka na bila masharti kwa watu wetu wote!

Freeman Mbowe
Mtandao wa X

Pia soma: Breaking News: - Tundu Lissu akamatwa na Polisi akiwa Ngorongoro hotel Wilayani Karatu
Hakika tumewahi kupita katika vipindi vigumu kama taifa tena siku za karibuni,hivyo hili ni jambo la kutafakari kwa uhalisia wake kama taifa,sitarajii tunarejea katika historian mbaya kamwe, iwe ni kwa maslahi ya kisiasa ama yanayoitwa ya taifa,kwa taifa ambalo miiko na maadili ya kitaifa yanapuuzwa mno .Kwani tutarajie matokeo hadi zaidi ya matokeo ya maslahi ya makundi ya wachache.
 
Back
Top Bottom