Freeman Mbowe ni zaidi ya Dikteta

Tayari mchana huu anayejiita Kamanda Asiyechoka karejea CCM baada ya kushindwa kuupata uenyekiti wa taifa CHADEMA.
 
Wewe una hamu ya kuolewa na Mbowe tu.
 
Huwa najiuliza hivi huyu jamaa Freeman Mbowe tangia akiwa kijana anahubiri demokrasia kwenye hii nchi mpaka amezeeka haoni vizuri lakini yeye mwenyewe ndani ya chama chake ni diktekta wa uenyekiti tangia akalie hicho kiti ni miaka ya mtu mzima Sasa lakini jamaa hataki kupisha mtu mwingine akalie hicho kiti.

Huyu jamaa tunakuwa na wasiwasi nae asije chukua nchi halafu yakawa mambo ya Mugabe kujimilikisha Mali na kukataa kutoka madarakani, Mbowe hataki kuachia uenyekiti sababu anajua pesa za ruzuku ya chama ni tamu nawaambieni watanzania mkitaka CCM itoke madarakani anzeni na diktekta Mbowe, huyu jamaa hafai kuwa mwenyekiti hata kama chama kaanzisha baba yake, kiufupi Mbowe kazeeka na ni tapeli tu.
 
Swali LA kujiuliza lingine, kwanini unawashwa na Mambo ya chadema, badala ya kushughurika na ma kenge ya ccm, yanayotumbua pesa yako ya Kodi,
Kuanzia kijiji mpaka ikulu, wote ni ccm, na nchi IPO hoe hae,maana kipindi cha shetani jiwe,mlisema wapinzani wanachelewesha maendeleo, sasa nchi mnayo lakini ni madudu matupu,
Kwanini haulizi vyama vingine, wenyeviti wao, udp,cheyo atafia pale, cuf, lipumba, lakini kwa vile chadema ni tishio mnataka mpandikize mamluki, mmeshindwa,
 
Wewe mbona umewashwa na Uzi wangu kwanini usingeendelea kula makande
 
Tangu
tarehe 7/2/1977 CCM inaongozwa na mwenyekiti mmoja ambaye pia ni rais kwa hiyo msiwashambulie CDM.

CCM wangekuwa wanademokrasia mwenyekiti wa chama angekuwa anajitegemea ili kumsimamia vizuri rais ambaye ni mtu mwenye hulka za kibinadamu anayetakiwa kusimamiwa asiingize matakwa binafsi.
 
Kama wewe tu.....tofauti ipo wapi na wewe πŸ˜€ πŸ˜€
 
Mbowe ni diktekta aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…