Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
🤣🤣🤣🤣Yaan unalazimisha wafanye kwa matakwa yako? Never ever kila chama kina taratibu zake mkuu. Ndio maan wanaandaa watu wao ndan ya chama hawatokubali mapandikizi, Jambo lingine... Biashara ya atake asitake tuu taa muongezea muda hii inamaana hakukua na mwingine wa kuendeleza ilani ya CCM? Huu ni mfano wa hoja nimekupa ambao unashabihiana na mada.Kwanini sasa hizi Machinery zisilete hao watu sasa hivi? Ukiona mpaka ccm wanaweka mamluki wagombee na Mbowe ujue ndani ya chadema hakuna wa kushindana na Mbowe.