Freeman Mbowe ni zaidi ya Dikteta

Freeman Mbowe ni zaidi ya Dikteta

Yaani jiwe na roho mbaya yake, alishindwa kumfanya aunge juhudi, licha ya mateso makubwa aliyomsababishia , bado alisimama imara, leo hii cjui unatoka wapi unajifanya una uchungu sana na CDM?!!TUACHENI TUMEMPENDA WENYEWE, SISI MANDONDOCHA.
Mbona Mbowe kwa CHADEMA ni sawa na Kim Jong un kwa Korea's Workers Party. Yaani badala ya kuwa binadamu mnamwabudu kama Mungu.
 
Magu amekuja amemuacha Mbowe... we huogopi?

20210421_094936.jpg
 
CCM Imebadilisha wenyeviti wanne wa Chama na bado Chama kiko imara sasa huyu dikteta Mbowe yeye ameking'ang'ania Chama kimekuwa kama kampuni binafsi ya Chadema

Mkapa aliondoka akamuacha, Kikwete alimuacha na Magufuli amemuacha

kwa sasa na Mama Samia atamuacha huyu ni dikteta kamili kabisa
Nawewe fungua yako ili ukame kama yeye

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
CCM Imebadilisha wenyeviti wanne wa Chama na bado Chama kiko imara sasa huyu dikteta Mbowe yeye ameking'ang'ania Chama kimekuwa kama kampuni binafsi ya Chadema

Mkapa aliondoka akamuacha, Kikwete alimuacha na Magufuli amemuacha

kwa sasa na Mama Samia atamuacha huyu ni dikteta kamili kabisa
Kwani CHADEMA wameshafikia awamu ya ngapi?
 
CCM Imebadilisha wenyeviti wanne wa Chama na bado Chama kiko imara sasa huyu Mwenyekiti Mbowe yeye ameking'ang'ania Chama

Mkapa aliondoka akamuacha, Kikwete alimuacha na Magufuli amemuacha

kwa sasa na Mama Samia atamuacha huyu
As long as Katiba ya Chadema inaruhusu, let it be. Niliwahi kuuliza...
P
 
CCM Imebadilisha wenyeviti wanne wa Chama na bado Chama kiko imara sasa huyu dikteta Mbowe yeye ameking'ang'ania Chama kimekuwa kama kampuni binafsi ya Chadema

Mkapa aliondoka akamuacha, Kikwete alimuacha na Magufuli amemuacha

kwa sasa na Mama Samia atamuacha huyu ni dikteta kamili kabisa
Shida ya MATAGA elimu hamna.
Mmeishia form 2 mlio wengi,so maana ya dikteta hamjui.
 
As long as Katiba ya Chadema inaruhusu, let it be. Niliwahi kuuliza...
P
Kwani msajili wa vyama vya siasa hakuipitia katiba ya CHADEMA kabla ya kukisajili chama?
 
Kwani msajili wa vyama vya siasa hakuipitia katiba ya CHADEMA kabla ya kukisajili chama?
P
 
Nakumbuka mlianza kampeni kipind kile eti mwambe anatosha kushika kijiti cha Mbowe [emoji1787][emoji1787][emoji1787] eventually Mwambe yuko wap? Sometimes ukiangalia ni bora abaki Mbowe coz he's strong and he hasn't price. Over
Akifa na chama kinakufa?
 
Mbowe hateki watu, hapotezi watu, hatukani ovyo, uchaguzi wa chama hazuii wagombea wengine na fomu hatoi moja.

CCM mmekosa hoja.
Eti nini? Kaulize familia ya Chacha Wangwe!

Yani unataka Mbowe akifanya umafia aje akuoneshe? Jinga kweli wewe
 
Jamani Mie ni CCM damu lakini Mbowe apewe heshima yake,kuongoza Chama cha upinzani Afrika ni zaidi ya kuwa hata Rais wa Jamhuri ya Tanzania maana unakuwa unapambana na MTU ambaye una resources zote ambazo anaweza kutumia kukumaliza.

Ni ngumu sana kukijenga Chama,ila unaweza kukibomoa ndani tu ya Siku ikawa hasara hata kwa Wananchi kuna kujenga Chama kingine tena cha upinzani kufikia level ambapo imefika CDM.

Imagine Leo hii Ndio Chama angekabidhiwa Kitila Mkumbo/Zitto au Yule Marehemu Chacha wangwe-hiyo CDM ingekuwepo??.huwezi kuongoza Chama cha Upinzani kama huna pesa utaishia mikononi kwa Chama tawala tu.

Kama Mbowe ataachia Chama amkabidhi Lissu au Prof Safari hao ndio pekee nawaona sana upinzani toka Damuni,tatizo lao kubwa hawana pesa hivyo ni ngumu kuongoza Chama.
 
CCM Imebadilisha wenyeviti wanne wa Chama na bado Chama kiko imara sasa huyu dikteta Mbowe yeye ameking'ang'ania Chama kimekuwa kama kampuni binafsi ya Chadema

Mkapa aliondoka akamuacha, Kikwete alimuacha na Magufuli amemuacha

kwa sasa na Mama Samia atamuacha huyu ni dikteta kamili kabisa
Hajang'ang'ania anachaguliwa we mburula! Katiba ya chama inaruhusu!
Huo uchaguzi CCM unauita uchaguzi wa kupita bila kupingwa? wa ndiyo au hapana? At least CDM wanaruhusu ushindani ambapo mwamba hua anaibuka kidedea.
Kama ni upenyo mnatafuta wa kuchafua upinzani thabiti andika maumivu ndugu!
 
Chama kama CHADEMA ukaweke mwenyekiti mwenye njaa kitasavaiv kweli? Sisi tunataka huyohuyo aongoze maana hanunuliki!
 
Back
Top Bottom