white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Yaani jiwe na roho mbaya yake, alishindwa kumfanya aunge juhudi, licha ya mateso makubwa aliyomsababishia , bado alisimama imara, leo hii cjui unatoka wapi unajifanya una uchungu sana na CDM?!!TUACHENI TUMEMPENDA WENYEWE, SISI MANDONDOCHA.Hali halisi mnaiona na mnashuhudia kuwa huyu mwenyekiti wetu ni mtu wa kujali biashara zake na sio chama chetu.
Mbaya zaidi amefanya chaka mali yake na hili ni kosa kubwa sana.
Sasa hivi anatambua kuwa hatuko vizuri kisiasa lakini amejificha Dubai.
Tupambane makamanda, tumuondoe madarakani, tupate mwenyekiti ambae atakuwa na nia njema na chama chetu. Sio kutugeuza sisi ndondocha.
La sivyo tutaambulia patupu.