Freeman Mbowe ni zaidi ya Dikteta

Em nyoosheni maelezo...

MATAGA mnatamani apatikane Cdm mwenyekiti asiyejitambua mumnunue kama akina Li-pumb*
 
Hapo mama hawa jamaa wakija na hoja za demokrasia waambie hilo halitekelezeki ndo maana Mbowe, Mrema,Mbatia,Cheyo limewashinda.
 
Nakumbuka mlianza kampeni kipind kile eti mwambe anatosha kushika kijiti cha Mbowe 🤣🤣🤣 eventually Mwambe yuko wap? Sometimes ukiangalia ni bora abaki Mbowe coz he's strong and he hasn't price. Over
 
Zombie la Magu km umechanganyikiwa vile pole
 
Madikteka wanahubiri democracy so funny this is the land of Kilimanjaro
 
Mbowe hateki watu, hapotezi watu, hatukani ovyo, uchaguzi wa chama hazuii wagombea wengine na fomu hatoi moja.

CCM mmekosa hoja.
 
Wanajichanganya tu hawa MATAGA
 
Hamzidi HAYATI
 
UJINGA NI MZIGO kama ZIGO LA MAVI.
hongera kwa kuchagua Ujinga 🤣🤣🤣🤣
 
"Hata akikataa tutamlazimisha,mheshimiwa Kessy utakuwepo kulianzisha."Ndungai
 
Nilihama Chadema kwa sababu hyo.Mpka sasa naangalia pakuchukua kadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…