antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Em nyoosheni maelezo...CCM Imebadilisha wenyeviti wanne wa Chama na bado Chama kiko imara sasa huyu dikteta Mbowe yeye ameking'ang'ania Chama kimekuwa kama kampuni binafsi ya Chadema
Mkapa aliondoka akamuacha, Kikwete alimuacha na Magufuli amemuacha
kwa sasa na Mama Samia atamuacha huyu ni dikteta kamili kabisa
MATAGA mnatamani apatikane Cdm mwenyekiti asiyejitambua mumnunue kama akina Li-pumb*