Freeman Mbowe ni zaidi ya Dikteta

Yaani jiwe na roho mbaya yake, alishindwa kumfanya aunge juhudi, licha ya mateso makubwa aliyomsababishia , bado alisimama imara, leo hii cjui unatoka wapi unajifanya una uchungu sana na CDM?!!TUACHENI TUMEMPENDA WENYEWE, SISI MANDONDOCHA.
 
Yaani jiwe na roho mbaya yake, alishindwa kumfanya aunge juhudi, licha ya mateso makubwa aliyomsababishia , bado alisimama imara, leo hii cjui unatoka wapi unajifanya una uchungu sana na CDM?!!TUACHENI TUMEMPENDA WENYEWE, SISI MANDONDOCHA.
Ndondocha we peke yako. Sisi tunataka aondoke.
 
Sauti ya Mtu aliaye bungeni, “naombeni kazi ya kufagia choo!”
 
Kamanda Asiyechoka,

CCM na vijana wenu wa mtaa wa Lumumba, pamoja na njama mbaya mliyofanya kwa kupanga, kuwezesha, kutekeleza na kuwalinda mliowatuma kuififisha CHADEMA miaka yote,bado mnapata ndoto mbaya za ujinamizi!

Kuiota CHADEMA kwa miongo miwili (miaka 20) yote hii, maana yake ni kwamba CCM siyo imara kama mnavyotaka ionekane mbele ya waTanzania.

Vibaraka wengi wa CCM Mpya waliokuwa wamepandikizwa CHADEMA, wamesharejea "nyumbani" mtaa wa Lumumba, Kamanda Asiyechoka anasubiri nini kwenda CCM.
 
Kamanda, mbowe amerithi chama cha baba mkwe wake, unataka kumwondoa ili urithi wewe?
 
Tatizo la kuvutia bangi kwenye zizi la ng'ombe, akili lazima iwe zumbukuku kama huyu mzee wa lumumba anayejitia ni Kamanda.

Wewe ukiona Mbowe anakukera hamia kwa Zitto au Mbatia vyama vipo kibao na hao wote walijitia ujuaji na wakaondoka Ila wanabangaiza mpaka leo.

Nadhani ukishindwa kabisa kesho nenda hapo ukumbini nifanye unaunga juhudi nawe tuone kama mama atakubali masiasa ya kijinga mliyozoea na kina Mollel na Mwita pamoja na lile jinga Mashinji
 
Subiri uchaguzi mkuu 2024
 
Samia anashindana na nani kugombea huo Uenyekiti huko CCM? Hakika nyani haoni kundule.
 
Na akina lipumba,mrema utasemaje
 
Kuna siku atatoka mbona nyerere alikuwa mwenyekiti wa chama kwa miaka mingi sana
 
Mbona humtaji Lowasa wewe kichwa panzi, mboe sindio aliwaingiza mkenge nyie nyumbu, ama nasema uongo?
 
Mbowe hateki watu, hapotezi watu, hatukani ovyo, uchaguzi wa chama hazuii wagombea wengine na fomu hatoi moja.

CCM mmekosa hoja.
Usidanganye. Chacha Wangwe aliuwa na nani? CHADEMA ukionekana mtu wa maswali mengi na uwezo wa kugombea nafasi ya uenyekiti au utawauwa kama Cha Wangwe, au utatengezewa mizengwe na kufukuzwa kama vile Zitto. Waitara alishtukiwa na Mbowe kuwa anataka kugombea uenyekiti, yaliyomtokea kila mtu anajuwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…