Mbowe kasamehewa na Rais Samia end of story.Inawezekana Zitto aliomba Mbowe asamehewe, hata kama ni kuomba kwa unafiki; lakini najua Lissu hawezi kuomba Mbowe asamehewe kwa kosa ambalo halikuwepo.
Viongozi wa dini hawakuomba Mbowe asamehewe. 'Spin' za namna hiyo zielekeze kwa wajinga.
Hiyo n.k., namuweka Zitto... wa miaka hii.Kwanza usipotoshe Rais hana mamlaka ya kumsamehe mtu aliye na Kesi inayoendelea,
Mbowe hajatoka kwa msamaha bali ni kukosekana kwa ushahidi wa kutosha kumtia hatiani jambo ambalo lilionekana tangu awali na halikuzingatiwa awali na watoa haki.
Pili mwanasiasa wa kweli anayetimiza wajibu wake ipasavyo asiyekuwa "kanjanja" mtaji wake mkubwa ni nguvu ya umma ambayo hupaza sauti pale anapoonewa.
Wanasiasa wanaopigania matumbo yao hata wakiwa na hoja ya maana na pengine hata wanapoonewa na kubagazwa Wananchi (nguvu ya umma) huweza kunyamaza tu. Mfano ni Ndugai, polepole, nk.
EeeenHeeeee.Mbowe kasamehewa na Rais Samia end of story.
Hapo hata ubinuke vipi lakini hiyo inafahamika na kila mtanzania.
Haya ni mawazo yako ama ya ujinga wa sheria au ni mwendelezo wa uhai wa utafiti wa TWAWEZA.Mbowe kasamehewa na Rais Samia end of story.
Hapo hata ubinuke vipi lakini hiyo inafahamika na kila mtanzania.
ikiwa huku niliko wakazi wake wote wanawaza CCM tu.
nafikiri hiyo kauli jaribu kuitafakari ukiwa umtuliaKuwasamehe tu wanasiasa ni kuwakosea pia hata wale ambao sio wanasiasa na wapo magereza bila kuwa na hiyo nguvu ya umma anayosema Mbowe.
Wale mabalozi wa nchi mbalimbali sio umma wakimataifa?Huyu jamaa ni zero brain,ndo maana alipata zero kwenye mtihani wa kidato Cha sita,na Wala asitake kuudanganya umma kuwa eti nguvu ya umma imemtoa kutokana na kupendwa kwake,huyu Ni muuongo mkubwa,watanzania wapi hao wanaompenda ikiwa huku niliko wakazi wake wote wanawaza CCM tu.
Aache Mara moja kuupotosha umma,auambie umma pamoja na wafusi wake kuwa isingekuwa huruma na busara za mama Samia angekufia jela!!