Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mpumzikaji pale, hakuna shaka hata hao waliovamia kumlazimisha agombee ni yeye amewalipa ili wamlazimishe kugombea, nchi ina kila aina ya vituko hiiMwache apumzike baba wa watu
Chairman haya maigizo ni ya kizamani inamana huko cdm hakuna akili mpya.Wakuu,
Baada ya baadhi ya wanachama kumvamia nyumbani kwake ili kumlazimisha kwenda kuchukua fomu, Mbowe akiwa anazungumza kwenye mkutano huo amesema kuwa anahitaji saa 48 ili afanye uamuzi iwapo atagombea au la.
Mbowe amesema kuwa siku ya Jumamosi muda wa saa 5 atatoa tamko rasmi iwapo atagombea au la
View attachment 3179605
Sasa laana za watanzania kafanyaje? mbona watekaji wanaendelea ijapokuwa wanalaaniwa kila siku au laana zinaangalia ntu na ntu? muache achukue fomu ili wachuane kwenye box la kura hiyo ndio demokrasia, kwani amekiuka katiba mahali?Mitanzani ni mijitu minafiki Sana ivi imagine baba wa Taifa angelazimisha kukaa madarakani mwaka 1985 halafu aje labda atolewe kwa nguvu na jeshi angekuwa na heshima yeyote katika nchi!!
Lazima tujifunze kuwajibika kwenye Jambo lolote hakuna mtu special kwenye taasisi anayeweza kukaa miaka 20 taasisi inaanguka halafu bado anataka kukaa tu pale huu ni ujinga.
Hili sio hata swala la kujiuliza kwa masaa 48 ni swala la kusema tu kwamba Mimi sigombei over!
Mbowe mbowe mbowe nimekuita Mara tatu Kama utabisha a na ukweli utakuwa na mwisho mbaya Sana kwa laana za Watanzania wapenda mabadiliko!!
Watu account zetu zilishafungwa kwa sababu ya hiki chama
Tenda zetu tulishazuiwa kulipwa kwa sababu ya hiki chama
Think twice leave!!
Dalili za haraka haraka zinaonyesha anagombea huyu!Wakuu,
Baada ya baadhi ya wanachama kumvamia nyumbani kwake ili kumlazimisha kwenda kuchukua fomu, Mbowe akiwa anazungumza kwenye mkutano huo amesema kuwa anahitaji saa 48 ili afanye uamuzi iwapo atagombea au la.
Mbowe amesema kuwa siku ya Jumamosi muda wa saa 5 atatoa tamko rasmi iwapo atagombea au la
View attachment 3179605
Zee la hovyo sanakuna chawa wanaumia humu ukisema hivyo Erythrocyte
Wewe ndio akili yako itagawanyika.Mhimu asigombee watakigawa chama atumie busara