Pre GE2025 Freeman Mbowe nyamaza au Ingia CCM 100% maana wewe ni mtoa taarifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuelekea 2025 sio tuu mtashikana uchawi Bali mtagawana fito kabisa.

Samia kawashika pabaya hamuelewi mshike wapi muache kipi 🤪🤪
 
Nyerere aliongozwa na kina mbowe ? Tumia akili ....mtu mwenye akili kuongoza wapumbavu ni sawa ila mpumbavu kuongoza mwenye akili ndiyo tatizo.

Kazi ya kuongozwa na wapuuzi na wapumbavu ni yenu nyinyi siyo mimi huyo SAMIA SIYO KIONGOZI WANGU MOYONI MIMI SIKU MCHAGUA ANIONGOZE ...usije ukasema wapi umetaja samia !
Wewe ulizaliwa lini pumbavu kiasi kwamba hata historia ya nchi hii unashindwa kuielewa?Unajua chembe chembe zote za kihutu zina shida maana uuaji kwao ni halali.Fuatilia mambo ya nchi hii yalikotoka na uelewe kuwa tangu mwanzo kabla na baada ya Uhuru Watanzania wote tulikuwa kitu kimoja.
Baada ya fedhuli Magufuri kuingia madarakani ndiyo akaleta hicho mnachokipenda na kukishabikia.Tanzania haikuwahi mbagua mtu kwa chama chake,kabila,rangi yake,asili yake,dini yake,jinsia yake,umri wake,elimu yake,kipato chake na hata mawazo yake.Kipindi cha mwndazake kumezaliwa ukanda,ukabila,uvyama,ujambazi wa wazi,utapeli,udhulumaji na dharau.
Na hii ndiyo dira ambayo wapumbavu wengi kama wewe mnaitembelea.
 
Na uchawa pia ulizaliwa enzi za jiwe.
 
Nimeyasikia malalamiko ya kile chama kinachoitwa "sauti ya watanzania" na tunaelewa nia thabiti ya kutaka kumrudisha "msaliti slaa" na kumweka kwenye kiti. Hilo linafahamika. Nimeyaona mapovu ya hao vibaraka wanaoishi ughaibuni wakitapika hovyo! Slaa anaweza kurudi CDM lakini Uenyekiti ng'oo au cheo chochote NOO hivi aliwaeleza alihongwa bei gani na magufuli kukimbilia canada na kupewa ubalozi Sweden ghafla?
Huyu Slaa aliyesema:
- Hana uhakika kuwa Mbowe siyo gaidi?
-Tundu LIsu kupigwa risasi ni suala la kawaida!??
No You can install this reptile in your group abroad but not here we know and yes we damn know this traitor!
 
Sijaelewa hoja yako hapa. Ulitaka amchukie Rais na wana CCM wote wasitoe mchango kanisani? Kwani lile kanisa ni chama gani au ndo Kanisa la Chadema? Mule kanisani una uhakika hawasali pia watu wa Vyama vingine kama CCM na ACT na wengine?
Sisi wote ni Wa Tz hatuchukiani kiasi hicho na mchango wa Mama kwa Kanisa hauna shida maana huko pia kuna wanachama wenzake.

Lets be mature guys!!!
 
Kajinyonge basi tujue umechukia
 
Ungekaa kimya ungeficha upumbavu wako!
Uwe unashirikisha kichwa kabla ya kuandika!
hata kama unapewa banana 2 shikirikisha kichwa kdg!
Usikubali kila kitu kuwa "toilet paper"
Huyu jama kakosea timing. Hivi angejisikiaje kama na Serikali yale maafa ya Manyara Serikali ingesema haitaki misaada ya Chadema. Nani ana uhakika kama kule hakuna wanachama wa Chadema. Hapa kinachotazamwa na kukitanguliza ni moyo wa Utanzania sio issue ya Chama.
Siasa za Chuki hazina nafasi ndani ya nchi hii. Haya mambo ya Vyama sometimes wazungu walitaka zile roho za chuki zitutafune. Nakumbuka miaka ya nyuma Zanzibar enzi za jino kwa jino, hata mazishi ya mtu wa CUF , Wana CCM walikuwa wanaulizana twende mazishi/Msibani au??? Mungu kashatuweka sawa tutulie.
 
Umethibitisha UJINGA NA UPUMBAVU ulionao SIASA SIO UADUI

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Upo sahihi sana mkuu na ukiona mtu analazimisha siasa ziwe chanzo cha uhasama kwenye jamii basi huyo ndiyo adui mkubwa kwa watanzania.
Mbowe yuko poa sema aachie uenyekiti hata kwa miaka miwili tu ili kukuza demokrasia. Sisi CCM hatuna ubaya nae ila tunapenda kuona demokrasia ikishamiri ndani ya upinzani. Mshaurini Mbowe aachie uenyekiti kwa miaka michache ili CCM tupate changamoto mpya kutoka kwa mwenyekiti mpya.
 
umeongea ukweli kabisa
 
Kwamba pesa walizopokea CDM za ruzuku ni pesa za Samia?

Hiyo line imeharibu HOJA zote ulizojaribu kuadress hapo juu.
 
Tatizo ni ile mindset ya siasa za kukunjana mashati ndio bado naiona vichwani mwa wengi, ajabu imefikia hatua kuamini hakuna jema lolote linaloweza kufanywa kati ya wanasiasa wa pande hizi mbili, huu ni ujinga ambao ni lazima ufutwe vichwani.
asante sana sana, ,tuna watanzania wengi wapumbavu sana sana
 
Ulipoanza na Makonda tu nikakudharau moja kwa moja
 
We kijambio cha msoga watz gani hao walio kuwa kitu kimoja kabla ya jpm wewe kweli ni bwege ....baba yako kauza ng'ombe wake kukusomesha kumbe kauza ng'ombe kusomesha ng'ombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…