allesandro 2021
Senior Member
- Feb 10, 2021
- 142
- 156
Sasa pamoja na unyama ule uliotendwa kulikuwa na haja gani ya mama kujitangaza kwamba yeye ni sehemu ya unyama ule , hawa watu walipofikia kwenye nchi hii haiwezekani tena kuwabembeleza , tuzungumze bila kumung'unya maneno
Sio mimi, mama yako.Ukiwa kwenye heat una shida sana wewe dada
..Mauaji yasijirudie.
..Dhuluma ikome.
..Ubaguzi uwe mwiko.
..KAZI iendelee.
Hapana wanasubiria kuona mauaji na mateso yatokanayo na kupigania Demokrasia kwa Ndugu zetu yanapungua. Ni hicho tu.Chadema wanasubiria huruma za samia badala ya kufanya kazi ya kujenga chama kwa bidii.
Tangu lini simba akamhurumia swala?
Duuh ila nyumbu ni shida jamani!
Mnasubiria "kupewa" demokrasia na samia? Really?
Msiwe wachonganyishi nyie ndugu...Mmpe nafasi mama asihukumiwe kwa image ya mtu. Hawezi kuukana ushirika ambao aliapa kuwa nao katika shida na raha, huo ndiyo uongozi.Sasa pamoja na unyama ule uliotendwa kulikuwa na haja gani ya mama kujitangaza kwamba yeye ni sehemu ya unyama ule , hawa watu walipofikia kwenye nchi hii haiwezekani tena kuwabembeleza , tuzungumze bila kumung'unya maneno
Dj mbowe nashauri awe na subira, maza kwa maneno ni kama marehemu dikiteta magufuli, ila kwa vitendo ni kikwete.Mbona Dj mbowe analalamika sasa?
Unaishi kwa kujivunia ujinga. Jielimishe, angalao ujie hata ileaana tu ya neno dikteta.Huyu Dj anajua kuwa na yeye ni dikteta au kwa vile Chadema hawamwambii ukweli? sifa moja ya madictator kung'ang'ania madarakani
Sitaki kuamini kama Chadema wote hawana akili mwenye akili ni Mbowe tu lakini kumbukeni Mbowe ni Binadamu kuna siku atakuwa hayupo leo JPM hayupo lakini CCM ipo na inapata mwenyekiti mwingine kwa amani kabisa kila mtu akitabasamu kwa maana utaratibu ulishatengenezwa siku Mbowe akiondoka tutashuhudia ugomvi na kugombea madaraka ndani ya Chadema .
Hivi neno "bunge"kumbe halinaga kingereza chake?
Umeangalia katiba yao inasemaje? Katiba ya Chadema ilikuwa inasemaje ? Usiongee kwa kutetea vitu Mbowe anawafanya wajinga kwa kuamini bila Mbowe Chadema hakuna sasa subrini siku akiondoka wakina Lissu,Msigwa,Sugu,Lema,Mnyika watakavyogombana kutaka uenyekiti na ndo itakuwa Mwisho kama ilivyo CUF ,CUF ilikufa kwa ajili ya Prof na Katibu wake kugombea madaraka tuUnaishi kwa kujivunia ujinga. Jielimishe, angalao ujie hata ileaana tu ya neno dikteta.
Kwa uelewa wako, Angel kule Ujerumani, ni dikteta? Tony Yam, kule Singapore ni dikteta?
Mimi sitegemei buku 7 za lumumba mnazolipwa na polepoleNa babu/baba yako ndiye anapaswa kutukanwa kwa sababu yeye ndiye aliyeshindwa kutafuta mali ili wewe leo usiwe maskini!
Ila inamhusu mbowe kuwa Mwenyekiti?!!!!!Hii hoja inawahusisha vipi Ccm?
Tunakemea mabayavyake ili mama asipite njia ya mwendazake na kufa kabla ya wakatiNyinyi ndiyo mnashindwa ku-move on baada ya kifo cha hayati. Ndiyo maana post zenu hazikamiliki bila kumtaja. Inabidi mjifunze kuishi bila JPM.
Hujaelewa point. Kusoma na kupuuzia au kuact silently is one thing. Ila Rais kuja kulialia hadharani na kuwaomba wakosoaji waende kutubu kwa Mungu wao ni kitu tofauti kabisaSocial media haziepukiki labda kama huishi dunia hii.
Hata kama mtu anajifanya hana account kama kina Majaliwa lazima tu utajua ni nini watu wanaongea huku.
Labda uhame duniani
Ni mtawala gani nchi hii amewahi kupuuzia yanayoendelea mitandaoni?Hujaelewa point. Kusoma na kupuuzia au kuact silently is one thing. Ila Rais kuja kulialia hadharani na kuwaomba wakosoaji waende kutubu kwa Mungu wao ni kitu tofauti kabisa
Tatizo si huyu MWAMBA bali MACHO yako kunawakati yanapinda yani makengeza na kuna kipindi yanarudi sawa. hivo lazima uone tofauti.Huyu jamaa muda mwingine nuru muda mwingine giza...Hapaswi kabisa kuwa kiongozi