Freeman Mbowe: Rais Samia Suluhu anateswa na kivuli cha Magufuli

Mama atavunga vunga tu na kulembua macho yake lakini tusitegemee jipya katika kupata Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi.
Hicho kikao cha Mbowe na Samia kikitokea kitanohmga zana
 
Hata akikutana anataka wajadili jinsi ya kufanya siasa zenye tija kwa nchi.

Maana yake baada ya kukutana hatutarajii kuwaona akina Lisu wakiponda Atcl, Sgr, bwawa la Nyerere kuwa ni miradi ya hovyo badala yake wataanza kusema hiyo ni miradi ya watanzania.


Kwa akili za kina Mbowe wanahisi mama ataenda kuwaruhusu kufanya maandamano kila siku.
 
Mwenyekiti anajua mama atasoma tu ujumbe wake kwasababu ni mtu wa mitandao, well ngoja tuone muda utaongea.
 
Umejuaje wapo kimya na unafikiri kwanini bado wako kimywa.
 
Zaidi Ndugai ndio anatakiwa awe wa kwanza kabisa mstari wa mbele kuomba radhi, kiongozi wa bunge haramu.
 
🤝🤝
 
Uzuri ni kwamba hata CCM yenyewe sasa inawaacha wapumbavu kama wewe. Baada ya April 30 ndo wewe na kundi lako mtajikuta yatima kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…