NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Sasa Mbowe anategemea Rais Samia ataachana na CCM kama chama chake?
Mbowe anasubiri meli kwenye kituo cha mwendokasi!
Mbowe anasubiri meli kwenye kituo cha mwendokasi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe ataufyata tu huwa na kelele akiwa twita.mbwa huwa wanabweka wakiwa getiniHicho kikao cha Mbowe na Samia kikitokea kitanoga sana, nimejiuliza inakuaje Rais anasema atalinda demokrasia kwa kutaka sheria ifuatwe, lakini bado anakuwa mgumu kuruhusu mikutano ya kisiasa iendelee sababu ipo kisheria mpaka wakakutane ikulu, hiyo kauli ya Mbowe hapo juu ndio inatoa majibu ya doubt yangu.
Mbona mnaanza kuteseka tena? Mama ameshawaaita, bado tu huridhiki, wapinzani uchwara bhn. Nyie mridhani mama atatoka nje ya ilani ya chama chake? In a nutshel, mama anatekeleza serikali ya awamu ya 5, yeye ni raisi wa 6 zingine porojo tu.Rais SSH anateswa na kivuli cha JPM. JPM & CCM mlitaabisha sana Taifa. Rais anaendelea kujisifu kuwa sehemu ya utesi huu. Hajutii. Bila kukiri & kutubu ni ubatili. Bunge haramu nalo giza! Rais kachagua kutafuta suluhu ya CCM siyo Taifa. Kazi bado ipo. Tusibweteke. Muda uongee!
View attachment 1760759
Habari ndo hii asietaka ahame nchi kama Lisu na Lema.Mbona mnaanza kuteseka tena? Mama ameshawaaita, bado tu huridhiki, wapinzani uchwara bhn. Nyie mridhani mama atatoka nje ya ilani ya chama chake? In a nutshel, mama anatekeleza serikali ya awamu ya 5, yeye ni raisi wa 6 zingine porojo tu.
Hotuba iko wazi kabisa, mama atatekeleza miradi yote ya kimkakati iliyoachwa na Magu, ile dira ya serikali ya awamu ya 5 iko palepale with minor changes atazifanya.
Sasa pamoja na unyama ule uliotendwa kulikuwa na haja gani ya mama kujitangaza kwamba yeye ni sehemu ya unyama ule , hawa watu walipofikia kwenye nchi hii haiwezekani tena kuwabembeleza , tuzungumze bila kumung'unya maneno..Mbowe anatakiwa kuuma na kupuliza.
..kwa maoni haya naona kama ameuma bila kupuliza.
..Kuna wana-ccm ambao wanapinga azma ya Rais Samia Suluhu kuboresha mazingira ya kisiasa nchini.
..Ni vizuri Mh.Mbowe na viongozi wa CDM wasizungumze kwa namna ambayo inamvunja moyo Rais Samia ktk kuleta maridhiano ya kisiasa nchini.
..Kwa kifupi sijayapenda maoni ya Mh.Mbowe.
Huhitaji kuyapenda hiyo ndiyo kazi yake...Mbowe anatakiwa kuuma na kupuliza.
..kwa maoni haya naona kama ameuma bila kupuliza.
..Kuna wana-ccm ambao wanapinga azma ya Rais Samia Suluhu kuboresha mazingira ya kisiasa nchini.
..Ni vizuri Mh.Mbowe na viongozi wa CDM wasizungumze kwa namna ambayo inamvunja moyo Rais Samia ktk kuleta maridhiano ya kisiasa nchini.
..Kwa kifupi sijayapenda maoni ya Mh.Mbowe.
Huyu jamaa wa ajabu kweli, sijui alikuwa anategemea mama atekeleze ilani ya kwake mwenyewe.Sasa Mbowe anategemea Rais Samia ataachana na CCM kama chama chake?
Mbowe anasubiri meli kwenye kituo cha mwendokasi!
Mada gani hapo kaongea ? Samia si Rais wa kuchaguliwa ni Rais kwa mujibu wa katiba ibara ya 37/5 yupo pale kumalizia kipindi cha miaka 4 kilichobaki utamtenganisha vipi na JPM ? Leo hakuna mradi atakaosema ambao umeanza kuanzia tarehe 19 mwezi 3 atataja miradi ambapo alishiriki kuianzisha kama makamu wa Rais na Rais ni JPM atajitenga nae vipi mbona ni vitu ambavyo hata darasa la 2 anaweza kujua au Mbowe hajui hili???Jikite kwenye mada
Sasa pamoja na unyama ule uliotendwa kulikuwa na haja gani ya mama kujitangaza kwamba yeye ni sehemu ya unyama ule , hawa watu walipofikia kwenye nchi hii haiwezekani tena kuwabembeleza , tuzungumze bila kumung'unya maneno
Kimeumana mkuu? Mlikuwa mnamchukia Magu bure, mama anaujua ukweli uko wapi, pamoja na minor changes atakazofanya, still mama hataacha kufuata nyayo za Magu, hayati Magu is will be her base, mbali na hapo mama atachemka hatari.Sasa Mkuu ikiwa Mama anasema anafuata nyayo za Magufuli aliyekimbiza wawekezaji lakini wakati huohuo anataka kurudisha imani ya wawekezaje wewe unaelewa nini ?
Labda keshagonga nyagi!..Mbowe anatakiwa kuuma na kupuliza.
..kwa maoni haya naona kama ameuma bila kupuliza.
..Kuna wana-ccm ambao wanapinga azma ya Rais Samia Suluhu kuboresha mazingira ya kisiasa nchini.
..Ni vizuri Mh.Mbowe na viongozi wa CDM wasizungumze kwa namna ambayo inamvunja moyo Rais Samia ktk kuleta maridhiano ya kisiasa nchini.
..Kwa kifupi sijayapenda maoni ya Mh.Mbowe.
Hujui Kick zao kisiasa kupata umaarufu.Umejuaje wapo kimya na unafikiri kwanini bado wako kimywa.
Kimeumana mkuu? Mlikuwa mnamchukia Magu bure, mama anaujua ukweli uko wapi, pamoja na minor changes atakazofanya, still mama hataacha kufuata nyayo za Magu, hayati Magu is will be her base, mbali na hapo mama atachemka hatari.
Watu tulishudia mabadiriko makubwa sana ndani ya utawala wa Magu, mama hatakuwa na mambo mingine makubwa sana zaidi ya yaliyoachwa