Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlevi mnywa konyagiHivi hata angenyamaza tu ingekuwaje , unamuungaje mkono mtu wa namna ile hadharani ?
Mkuu hatuna Marais wawili ndani ya Tanganyika tuna Rais kwa maana ya Rais mteule hatuna marais wateule katiba yetu ibara ya 39,40 vinazungumzia Election of President kwa maana ya Rais si marais 50,48 vinazungumzia Vice-President, his duties and powers Rais ni mmoja tu kwa maana ya Rais mteule si Marais wateuleUsisahau hili Mh Rais SSH alizunguka na alifanya kampeni sambamba na Mwendazake. Wakati huo Mbowe akiwa kajificha Machame akijaribu kutetea Ubunge ambao alishindwa kwa aibu kuu.
Ujitafakari na ujirithishe unaposema si Rais wa kuchaguliwa. Haiwezekani ikawa hivyo wamechaguliwa sambamba na mwendazake kwa mujibu wa Katiba hiyo hiyo inayomfanya kuwa leo ni Rais wa JMT.
Malaya huyu..Dikteta mnywa konyagi ni afadhali kuliko dikteta muuaji mnywa damu.
Hoja duni mno !Kwa hiyo ulitaka Samia asimame aseme yeye ni Chadema na anajitoa CCM?
kutokana na laana ya Mungu huyo Mafue hatofika hukoMafue anamsubiri Hai 2025 kama bado atakuwa anapihia Ubunge ' 2030..
Kuna mtu mwema kweli kwa Mh Mbowe kwa namna hii? Alitaka Raisi afanaje? Ametamka bayana kwamba atakutana na viongozi wetu wa vyama vya siasa,kwa hali hii mama anapoona tweet hii anajisikiaje kuona watu anaotarajia kukutana nao wanawaza namna hii!!
Kwenye strugle viongozi hawabadilishwi ovyo hivyo. Ndiyo maana akina Tambo, Machel waliongoza kwa muda mrefu. Siku Mkoloni CCM akitoa mambo yatabadilika.Huyu Dj anajua kuwa na yeye ni dikteta au kwa vile Chadema hawamwambii ukweli? sifa moja ya madictator kung'ang'ania madarakani
Mboye hajielewi anataka apate nafasi za viti maalum ili ampe Joyce mukyaKuna mtu mwema kweli kwa Mh Mbowe kwa namna hii? Alitaka Raisi afanaje? Ametamka bayana kwamba atakutana na viongozi wetu wa vyama vya siasa,kwa hali hii mama anapoona tweet hii anajisikiaje kuona watu anaotarajia kukutana nao wanawaza namna hii!!
Tz ni Tz.
Mkuu hatuna Marais wawili ndani ya Tanganyika tuna Rais kwa maana ya Rais mteule hatuna marais wateule katiba yetu ibara ya 39,40 vinazungumzia Election of President kwa maana ya Rais si marais 50,48 vinazungumzia Vice-President, his duties and powers Rais ni mmoja tu kwa maana ya Rais mteule si Marais wateule
Ndo mnavyodanganyana eeeh Mbowe angekuwa hupo Ulaya angajiuzuru kwani kutoka wabunge 34 wa kuchaguliwa 2015 mpaka mbunge 1, 2020 huku ni kushindwa kama kiongozi alitakiwa kuacha akili na mawazo mengine yaingie yeye akae pembeni kuwa mshauri wa chama si mwenyekiti tena.Kwenye strugle viongozi hawabadilishwi ovyo hivyo. Ndiyo maana akina Tambo, Machel waliongoza kwa muda mrefu. Siku Mkoloni CCM akitoa mambo yatabadilika.
Hivi kwa akili ya kawaida mwenzetu unaona kulikuwa na uchaguzi 2020...!!?Ndo mnavyodanganyana eeeh Mbowe angekuwa hupo Ulaya angajiuzuru kwani kutoka wabunge 34 wa kuchaguliwa 2015 mpaka mbunge 1, 2020 huku ni kushindwa kama kiongozi alitakiwa kuacha akili na mawazo mengine yaingie yeye akae pembeni kuwa mshauri wa chama si mwenyekiti tena.
..Mbowe anatakiwa kuuma na kupuliza.
..kwa maoni haya naona kama ameuma bila kupuliza.
..Kuna wana-ccm ambao wanapinga azma ya Rais Samia Suluhu kuboresha mazingira ya kisiasa nchini.
..Ni vizuri Mh.Mbowe na viongozi wa CDM wasizungumze kwa namna ambayo inamvunja moyo Rais Samia ktk kuleta maridhiano ya kisiasa nchini.
..Kwa kifupi sijayapenda maoni ya Mh.Mbowe.
Amekosea . Mama ni mtu tofauti na mtangulizi wake. Ila hatakubali kuonyeshwa anadharaulika...Mbowe anatakiwa kuuma na kupuliza.
..kwa maoni haya naona kama ameuma bila kupuliza.
..Kuna wana-ccm ambao wanapinga azma ya Rais Samia Suluhu kuboresha mazingira ya kisiasa nchini.
..Ni vizuri Mh.Mbowe na viongozi wa CDM wasizungumze kwa namna ambayo inamvunja moyo Rais Samia ktk kuleta maridhiano ya kisiasa nchini.
..Kwa kifupi sijayapenda maoni ya Mh.Mbowe.