Pre GE2025 Freeman Mbowe: Shutma za Lissu dhidi yangu ni za uongo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuna maisha baada ya Uchaguzi,Bora mchague Mbowe unaweza kuja hata kumkopa hela mambo yakikwama.

Waliokaa kimya sio wajinga
 
kibaraka wa mabenyenye ya magharibi ameloose control na uelekeo wa kisiasa kabisa πŸ’
 
Ukikwama umewahi hata kupata kiduchu kati ya mikopo inayopigiwa debe na mboga mboga?
Taasisi za Fedha hazitoi Msaada Bali mikopo ,ulikamilisha taratibu unapata.

Hapa nazungumzia kupigania tafuta kishkaji
 
Itakuwa jambo la busara Mwenyekiti Mbowe akapumzika. Amefanya mengi kwa faida ya CHADEMA.
 
Itakuwa jambo la busara Mwenyekiti Mbowe akapumzika. Amefanya mengi kwa faida ya CHADEMA.
Hilo ni moja ila japo atarejesha imani kidogo kwa waliomuamini kwa muda mrefu kwa kukubali kuwa chukua chako mapema wamekuwa wakimtumia kwa manufaa yao na kwa hasara juu ya chadema.
 
Mbowe akubali yaishe maana kinachokuja ni land-slides ile ya hanang
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…