Pamoja na yoooote yaliyotokea mpaka sasa ndani ya Chadema na may be kukuweka/kukukatisha tamaa, nilitegemea ulaani kwa nguvu ya Mungu wetu wa Mbinguni mauaji ya watanganyika wenzako. Umenyamaza kimyaaaaa. Si sawa. Jitafakari sana.
Mchango wako ni mkubwa kisiasa kwa taifa hili. Usiharibu historia yako kwa mkate upitao!
Kwa mauaji ya watanganyika yakufanye tuanze safari mpya ya kuikombia Tanganyika and not Tanzania.
Nakutakia matashi mema kuanzia leo na kuendelea