Waafrika tumefunzwa tukila tusiwe tunaongea.. Wahenga wanasema ni ukosefu wa adabu lakini pia unaweza kupaliwaPamoja na yoooote yaliyotokea mpaka sasa ndani ya Chadema na may be kukuweka/kukukatisha tamaa, nilitegemea ulaani kwa nguvu ya Mungu wetu wa Mbinguni mauaji ya watanganyika wenzako. Umenyamaza kimyaaaaa. Si sawa. Jitafakari sana.
Mchango wako ni mkubwa kisiasa kwa taifa hili. Usiharibu historia yako kwa mkate upitao!
Kwa mauaji ya watanganyika yakufanye tuanze safari mpya ya kuikombia Tanganyika and not Tanzania.
Nakutakia matashi mema kuanzia leo na kuendelea
Mbowe yupo upande wa wanaoua sasa ni muuaj9 toka zamani kwa maslai ya genge la Rostam azizi...kifo cha ben saa 8Pamoja na yoooote yaliyotokea mpaka sasa ndani ya Chadema na may be kukuweka/kukukatisha tamaa, nilitegemea ulaani kwa nguvu ya Mungu wetu wa Mbinguni mauaji ya watanganyika wenzako. Umenyamaza kimyaaaaa. Si sawa. Jitafakari sana.