Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

Kumuamini Mbowe ni sambamba kumiliki cheti cha MIREMBE.

Sijahi kuona sehemu yoyote amekanusha tuhuma za kujikopesha pesa za chama.
Wewe ni lijuha-likali, yule aliye liaga kule mjengoni?!
 
Mbowe ni muongo.

Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?
Acha kuwehuka wewe! Angesema huenda leo hii tusingekuwa nae
 
Mbowe ni muongo.

Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?
Atakua alikua na account zenye ela nje ya Tanzania mkuu ambazo kwa sheria za nchi husika walishindwa kuzifungia mkuu ndo labda alitumia kufungulia biashara nyingine.
 
Unamjua Heri James na Dotto James ...na yule aliyeshindankura za maoni Kinondoni 😆😆
Unamjua Mussa Magufuli MkurugenziMsaidizi Ofisi ya Rais Utumishi....unajua alivyouziwa nyumba za Serikali pamoja na Shemeji yake wa Kambo Sundi Malomo....!
Unajua chumba alichokuwa anakaa Sundi Malomo pale Mabibi Hostel!
Acheni shetani aibishwe ...Haki Huinua Taifa!
 
Mbowe ni muongo.

Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?
Hili zombie la Magu huna akili kabisa,lisukuma la ajabu kabisa sijui msukule wa Magu
 
Msukule wa jiwe unayeishi.Jinga kabisa ww
 
Kama hakufata sheria..alitaka iweje!!! Kama alifata aende mahakamani..

Ila nawashangaa wengi.. maneno mengi kama vile uongozi wote umebadilika ukaja mpya kutoka sijui safari ipi.. na sheria za nchi zimekutwa..

Waendelee tu kuongea...........
bibie umemaliza eda?
 
Kwanin Samia emeamuru zifunguliwe Kama alikua afuati sheria
 
Ila wengi tunalia na awamu ya tano
 
Sasa naamini kuna kampeni chafu ya kumchafua JPM!

Kama ni toka 2018 alishindwa nini kuitumia ktk siasa za uchaguzi kama ilivyo kwa wanasiasa wetu kutafuta sympath!
Ili iweje?akufe?Nani anapenda kukufa?ameondoka waache wateme nyongo
 
Ushahidi autoe wapi sasa? Jamaa anabwabwaja tu pasikuwa na ushahidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…