Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

Mbowe mzandiki Sana, ni kwa vile hayati hawezi kujitetea. Mchaga afungiwe akaunti zake achekecheke tu, thubutu huyu mwongo kabisa.
 
Mbowe ni muongo.

Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?
Unadhani hana hata ndugu wa kumpa mtaji? Au unadhani yeye ni wa kiwango chako cha unyonge?
 
Kama hakufata sheria..alitaka iweje!!! Kama alifata aende mahakamani..

Ila nawashangaa wengi.. maneno mengi kama vile uongozi wote umebadilika ukaja mpya kutoka sijui safari ipi.. na sheria za nchi zimekutwa..

Waendelee tu kuongea...........
Wewe itakuwa mgeni sio tu Tanzania bali Afrika..., Kesi ya Nyani unampelekea Ngedere ? Na huyu jamaa alisema anashangaa Serikali kushindwa kesi (unadhani hapo inderectly anaiambia Mahakama nini ?)
 
Sikiliza maelezo yake mwenyewe anasema baada ya kufungiwa ndio akaamua kwenda Dubai kuanzisha biashara, hakusema kama alikua na biashara huko.
Hakusema alienda Dubai kuanzisha biashara, bali alisema kuwa ilimlazimu kwenda nje ya nchi kuangalia fursa za kuwekeza.

Kwa maelezo hayo, swali lako kuwa alipata wapi hela ya kuwekeza kama account zake za Tanzania zilifungiwa, halina msingi. Kama mtu alikuwa na biashara nyingine huko nje, TRA walifungia na account za nje?
 
Unadhani yeye ni fala hana accounts nchi za ughaibuni, wajanja huishi kwa tahadhari kwani sometimes mijibwa ndiyo inakuwa imekabidhiwa dola na kufanya kama haya yaliyofanyika.
Mkuu hata Sisi wafugaji, huwezi kuweka ng’ombe zote nyumbani, unawekeza sehemu mbali mbali!
 
Hii ni wazi kuwa huyu mtu yupo kimaslahi zaidi, na hayupo kwa ajili ya wananchi. Anatumia siasa kutakatisha mambo yake yakae sawa. Yupo kwa ajili ya kuweka biashara zake sawa.Mtaji wake mkubwa ni wafuasi wa Chadema wasio na uwezo mkubwa wa kupambanua mambo
image_search_1618159143938.jpg
 
Back
Top Bottom