MATAGA hamnaga akili, onyesha kama hakufungiwa akaunti zakeHii ndo point ya msingi yaani afungiwe account zake si angepata kick kabisa ya kisiasa
Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MATAGA hamnaga akili, onyesha kama hakufungiwa akaunti zakeHii ndo point ya msingi yaani afungiwe account zake si angepata kick kabisa ya kisiasa
Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
Sikiliza wewe muzimu wa chattle,ulipaswa kuchomwa moto!PeriodHalafu Mbowe anataja kua Hayati Magufuli alikua na upendeleo wa kindugu, neportism, anaweza kutupatia ushahidi kua kulikua na upendeleo huu na huu wa kindugu wakati wa Magufuli?
Tupate ushahidi wa ndugu zake na Magufuli ambao aliwapendelea na hawakua na sufa kwenye nafasi za kiutumishi.
Hii kampeni ya ukabila inapigiwa chapuo sana na makabila ya kaskazini. Wanajitahidi kutaka kufukia tabia yao ya ukabila nchi hii. Mfano, Kimei amejaza wachaga CRDB.
Unafikiri mbowe masikini kama wazazi wako uko usukumani
Nimebakiza million 2 tuu kwenye akaunti maana kuna jamaa yangu alichukua m 80 tena alikua kakopa MMB baadae Benk wanauza nyumba ya jamaa na 80 wamechukua yote TRA jamaa kabaki masikini na tax clearance ya 2019 alikuwa nayo kama mlipaji Mzuri wa Kodi ndo utashangaa Magu alikua mtu ganiWito wangu kwa wananchi:-
Usiweke hela benki. Kuiamini CCM ni sawa na kumwamini huyu mwenye rangi saba kama rainbow
Huyo alizoea enzi za jk halipi KodiMbona hajasema alitakiwa kulipa kiasi gani na ni malimbikizo ya miaka mingapi akijumlisha na faini zake!!
Asilielie ka mtoto,. Malalamiko yake yaende sambamba na uhalisia kudaiwa madeni yake halisi, ni bei gani alitakiwa kulipa TRA?
Watanzania wajinga tu ndio walioumia kama siyo policcm hata mimi ningechinja mbuziMbowe amekosa Utu, hivi inawezekanaje leo hii anamkashifu na kumshambulia mtu aliye kufa?!!! ili iweje sasa?
watanzania walio wengi waneumia sana kwa kuondokewa na Huyo unaye mkashifu leo hii.
huu sio uungwana
Mlitaka mjazwe nyie vilaza msio na elimu?Halafu Mbowe anataja kua Hayati Magufuli alikua na upendeleo wa kindugu, neportism, anaweza kutupatia ushahidi kua kulikua na upendeleo huu na huu wa kindugu wakati wa Magufuli?
Tupate ushahidi wa ndugu zake na Magufuli ambao aliwapendelea na hawakua na sufa kwenye nafasi za kiutumishi.
Hii kampeni ya ukabila inapigiwa chapuo sana na makabila ya kaskazini. Wanajitahidi kutaka kufukia tabia yao ya ukabila nchi hii. Mfano, Kimei amejaza wachaga CRDB.
Waulize wazazi wako uko wa mbowe ni matajiri kiasi gani hapa east africaMwenye ruzuku sio
Mwenzako
Manyumba? MATAGA tulia usipanic wauaji wakubwa nyieManyumba yanafuatana tu kukomenti kama kawaida yao bila hata kuhoji.
Halafu Kuna vilaza Face Book vinapinga,vinatetea na kusikitika akikaangwa na CAG.Mungu amrehemu kwa hyo roho yake
Na roho kama anayo ife tena hukoAlikuwa shetani kabisa mwache apotee zake.
itasaidia kufuta urais wake kwenye historia ya Tz. hatuwezi kuwa na rais wa hovyo namna hiiAkiwa huko huko kuzimu??😅😂 hatari
Everyday is Saturday................................😎
Familia yake wafanye toba io zambi itawala hadi Kizazi cha nneNa roho kama anayo ife tena huko
Sikiliza wewe muzimu wa JIWE ,hakuna aliye kulilia wala kuhuzunika,ni hivi waliolia wote ni mashetani wenzakoMbowe amekosa Utu, hivi inawezekanaje leo hii anamkashifu na kumshambulia mtu aliye kufa?!!! ili iweje sasa?
watanzania walio wengi waneumia sana kwa kuondokewa na Huyo unaye mkashifu leo hii.
huu sio uungwana
Hakuna mwanaccm mwenye aibu .Hivi Ndugai ana jisikiaje leo?
Bado ana aamini yeye ni spika au anajiona ushuzi?
Facebook nao n mtandao ..? Si ni wajinga wajinga tuu humoHalafu Kuna vilaza Face Book vinapinga,vinatetea na kusikitika akikaangwa na CAG.
Vijitu vinavyoitwa vinyonge vina Chuki Sana na watu wenye maendeleo,
Kwa kuwa alitesa wafanyakazi,wafanyabiashara,matajiri na watu wenye mafanikio hivyo vijitu vinyonge vya Face book vinamuona shujaa.
Shujaa makopo.
Kabisa, maana kwa wengi alikuwa ni adui wa taifaFamilia yake wafanye toba io zambi itawala hadi Kizazi cha nne
Aisee, Na ile bustani ya Mbowe ilifyekwa mazao yote, Ukumbi wa burudani wa Bilcana nao ukavunjwa, ukaporwa na ubunge wako. Lakini ulikuwa mvumilivu sana wala hukulalamika mahali popote. Pole mkuu Mbowe, yote hayo walitaka ukaunge juhudi za mtu hatari.
Unahaki ya kususa hata kwenda msibani Chato