Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

Halafu Mbowe anataja kua Hayati Magufuli alikua na upendeleo wa kindugu, neportism, anaweza kutupatia ushahidi kua kulikua na upendeleo huu na huu wa kindugu wakati wa Magufuli?

Tupate ushahidi wa ndugu zake na Magufuli ambao aliwapendelea na hawakua na sufa kwenye nafasi za kiutumishi.

Hii kampeni ya ukabila inapigiwa chapuo sana na makabila ya kaskazini. Wanajitahidi kutaka kufukia tabia yao ya ukabila nchi hii. Mfano, Kimei amejaza wachaga CRDB.
Sikiliza wewe muzimu wa chattle,ulipaswa kuchomwa moto!Period
 
Wito wangu kwa wananchi:-
Usiweke hela benki. Kuiamini CCM ni sawa na kumwamini huyu mwenye rangi saba kama rainbow
Nimebakiza million 2 tuu kwenye akaunti maana kuna jamaa yangu alichukua m 80 tena alikua kakopa MMB baadae Benk wanauza nyumba ya jamaa na 80 wamechukua yote TRA jamaa kabaki masikini na tax clearance ya 2019 alikuwa nayo kama mlipaji Mzuri wa Kodi ndo utashangaa Magu alikua mtu gani
 
Mbona hajasema alitakiwa kulipa kiasi gani na ni malimbikizo ya miaka mingapi akijumlisha na faini zake!!

Asilielie ka mtoto,. Malalamiko yake yaende sambamba na uhalisia kudaiwa madeni yake halisi, ni bei gani alitakiwa kulipa TRA?
Huyo alizoea enzi za jk halipi Kodi
Itakuwa NI Kodi ya miaka mingi
Aache ujinga was kutafuta huruma
Wanasiasa wanakwepa Kodi Sana kwa kutumia nafas zao
Magu alizuia Hilo
 
Mbowe amekosa Utu, hivi inawezekanaje leo hii anamkashifu na kumshambulia mtu aliye kufa?!!! ili iweje sasa?

watanzania walio wengi waneumia sana kwa kuondokewa na Huyo unaye mkashifu leo hii.
huu sio uungwana
Watanzania wajinga tu ndio walioumia kama siyo policcm hata mimi ningechinja mbuzi
 
Halafu Mbowe anataja kua Hayati Magufuli alikua na upendeleo wa kindugu, neportism, anaweza kutupatia ushahidi kua kulikua na upendeleo huu na huu wa kindugu wakati wa Magufuli?

Tupate ushahidi wa ndugu zake na Magufuli ambao aliwapendelea na hawakua na sufa kwenye nafasi za kiutumishi.

Hii kampeni ya ukabila inapigiwa chapuo sana na makabila ya kaskazini. Wanajitahidi kutaka kufukia tabia yao ya ukabila nchi hii. Mfano, Kimei amejaza wachaga CRDB.
Mlitaka mjazwe nyie vilaza msio na elimu?
 
Wapo wengine hatutai kuwataja tu wametumia ubunge kuuza madawa nubunge umekuwa kichaka Cha wanasiasa wengi
Hasa kwenye kulipa Kodi na Mambo mengine
Wakiguswa kidogo wanajifanya kuonewa
 
Mungu amrehemu kwa hyo roho yake
Halafu Kuna vilaza Face Book vinapinga,vinatetea na kusikitika akikaangwa na CAG.

Vijitu vinavyoitwa vinyonge vina Chuki Sana na watu wenye maendeleo,

Kwa kuwa alitesa wafanyakazi,wafanyabiashara,matajiri na watu wenye mafanikio hivyo vijitu vinyonge vya Face book vinamuona shujaa.
Shujaa makopo.
 
Mbowe amekosa Utu, hivi inawezekanaje leo hii anamkashifu na kumshambulia mtu aliye kufa?!!! ili iweje sasa?

watanzania walio wengi waneumia sana kwa kuondokewa na Huyo unaye mkashifu leo hii.
huu sio uungwana
Sikiliza wewe muzimu wa JIWE ,hakuna aliye kulilia wala kuhuzunika,ni hivi waliolia wote ni mashetani wenzako
 
Halafu Kuna vilaza Face Book vinapinga,vinatetea na kusikitika akikaangwa na CAG.

Vijitu vinavyoitwa vinyonge vina Chuki Sana na watu wenye maendeleo,

Kwa kuwa alitesa wafanyakazi,wafanyabiashara,matajiri na watu wenye mafanikio hivyo vijitu vinyonge vya Face book vinamuona shujaa.
Shujaa makopo.
Facebook nao n mtandao ..? Si ni wajinga wajinga tuu humo
 
Aisee, Na ile bustani ya Mbowe ilifyekwa mazao yote, Ukumbi wa burudani wa Bilcana nao ukavunjwa, ukaporwa na ubunge wako. Lakini ulikuwa mvumilivu sana wala hukulalamika mahali popote. Pole mkuu Mbowe, yote hayo walitaka ukaunge juhudi za mtu hatari.

Unahaki ya kususa hata kwenda msibani Chato

Luka 23:31

Kwa maana, kama watu wanautendea mti mbichi namna hiyo, itakuwaje kwa mti mkavu?”

==
Kama mbowe ambaye alikuwa na cheo tu kikubwa KUB kafanyiwa hivyo inakuwaje kwa wafanyabiashara ambao hawana access na waziri? Wafanyabiashara wengi wamechukuliwa fedha zao ,wafanyabiashara wengi wamefilisiwa ,wafanyabiashara wengi wamefungwa kwa uhujumu uchumi ,JIWE aliumiza sana wafanyabiashara ,dhuluma aliyoifanya hakika imemtafuna..............TZ hatujawai kuondokewa na rais akiwa madarakani ila imetokea kwa MEKO,MATAGA kuna la kujifunza.
 
Back
Top Bottom