Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela


Hata mimi mndereko najua kabisa Msukuma ni mkabila ndani ya Tanzania hii hamna wa kumfikia.

Walishaifanya Tanzania kuwa ni nchi itaongozwa na wasukuma afadhali hii regime imekufa!!
 
Huu hapa Wewe unauona ni uwezo mkubwa wa kupambanua mambo?! Unajiona Una akili kubwa sana?!
Fala utakuwa wewe pamoja na ukoo wako mzima, kama alikuwa hataki kulipa kodi kwanini asishughulikiwe, Magufuli alikuwa mwamba kwelikweli ndiyo mafisadi yote yalihama nchi.

Wewe ni fala tena fala mkubwa .
usipaniki mkuu, ukitoa mapuvu mengi Unaweza kujiumiza kwa mambo ya kijinga! Ni kweli mwendazake alikua Mwamba, sema kwenye kifo tu ndo hakuna umwamba! Tulegeze moyo tu, tukubali Sisi ni wanaadamu, tuishi vizuri duniani!
 
Hawa ndo wa kushughulika nao ili wawe Kama ile kesi ya kina Zombe
 
Huyo alizoea enzi za jk halipi Kodi
Itakuwa NI Kodi ya miaka mingi
Aache ujinga was kutafuta huruma
Wanasiasa wanakwepa Kodi Sana kwa kutumia nafas zao
Magu alizuia Hilo
Kwaio tax clearance za TRA za kila mwaka walizokuwa wanampa zilikua ni feki
 
Akisema bila aibu atake asitake tutamuongezea, akamuongezee huko kaburini ***** zake
We acha tuuu Ndugai alijua huyu jamaa hana roho nzuri bora kumuona mkono tuuu siku ziende uko kinaitwa kujitoa ufahamu
 
Uliona alicho fanywa lissu? Baada ya kuongea sana
 
Sukuma gang baba enu kafa mmebaki yatima bas mnahangaika makima nyie
 
Magufuli alikuwa mshenzi sana. Alikuwa ni zaidi ya shetani kwakweli 😢

Alafu kuna wajinga wanamuita huyu shetani shujaa
Tena wanamuita shujaa wa Africa

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Hii ndo point ya msingi yaani afungiwe account zake si angepata kick kabisa ya kisiasa

Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
Hivi mnafikiri ukishafanyiwa vitendo Kama hivyo utaachwa kindezi ndezi upayuke mitaani? Unafikiri waliofanya hivyo walikuwa hawajui Kama Mbowe anaweza kuongea?

Any way, Mzee Lowassa hakuonekana msibani kuanzia Dsm hadi Chatto labda tuamini kweli afya yake haikuwa vizuri kama wasemavyo
 
Huu ni ukatili uliopitiliza kumfanyia mtanzania mwenzako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…