Kabisa mkuu. Yule kwa historia ni wahamiaji toka Burundi. Na ilishasemwa na alijitetea kuwa ni babu yao ndiyo alihamia akamzalia baba yake Tanzania hivyo eti walichukua uraia. Hivyo ujue damu ike ya utesaji ina uasili wake.Hakuwa hata na cheti cha kuzaliwa atakuwa kapata hiki cha tarehe 17.03.2021.
Kama ulivyoamini habari ya rais kuwa yuko ofisini anachapa kazi ama?Tatizo ni huu uongo, Mbowe leo hana biashara ata moja Tanzania? Hizo ni story ni kwa wapuuzi kama nyie nyumbu mnaoamini kila ujinga unaotoka mdomoni kwa viongozi wa CDM.
Empty set.Sasa naamini kuna kampeni chafu ya kumchafua JPM!
Kama ni toka 2018 alishindwa nini kuitumia ktk siasa za uchaguzi kama ilivyo kwa wanasiasa wetu kutafuta sympath!
Kila mtu anasema sasa. Hata Ndugai anasema sasa.... Hivi unafikiri, JPM angekuwa Hai hata hiyo report ya CAG inge toka hivyo kama ulivyoisikia!?Mbowe mbona haya unayasema sasa?
Maana kama mti mbichi ulikuwa wafanyiwa hayo, je mti mkavu ambao no wafuasi wa chama chako je?
Juma tatu ya week aliotangazwa marehemu mama Samia alikuwa Tanga, akaombwa kiji barabara kutoka kwenye kiwanda alichoenda fungua kuunganishwa na main road. Alipojibu atawaagiza TARURA wajenge wenye akili timamu wakaunganisha dots; you know why?Kama ulivyoamini habari ya rais kuwa yuko ofisini anachapa kazi ama?
Mbowe mbona hajamkashifu magufuli?kuna sehemu kamtaja Marehemu hapo?!yeye amewaongelea TRA au nimeona vibaya?!!Mbowe amekosa Utu, hivi inawezekanaje leo hii anamkashifu na kumshambulia mtu aliye kufa?!!! ili iweje sasa?
watanzania walio wengi waneumia sana kwa kuondokewa na Huyo unaye mkashifu leo hii.
huu sio uungwana
Mweleze kabisa mkuu. Mbowe kwao alizaliwa akaikuta pesa na vitega uchumi ndani na nje ya nchi. Hii familia ndiyo ilikuwa inafadhili baadhi ya mambo Awamu ya Kwanza. Iko respected. Hao majuha wanafikiri mbowe ni saizi yao. Usimwone simple pesa ipo.Sikia wewe fala, Mbowe ana akaunt za Benk hadi nje ya nchi,hana njaa Kama hilo katili la Chato
Mi nimeacha kitambo kuweka hela yangu bankWito wangu kwa wananchi:-
Usiweke hela benki. Kuiamini CCM ni sawa na kumwamini huyu mwenye rangi saba kama rainbow
Alikuwa na wivu sana hataki mru apate. Eti tuishi kama mashetan. My foot. Ninaamini ni jirani ya mashetani sasa au ni mmoja waoJamaa alkuwa hapend wafanyabiashara,sjui walmfanya nn
Roho mbaya tuum...Jamaa alkuwa hapend wafanyabiashara,sjui walmfanya nn
Mbona hujamtaja Dotto James na yule Mwenyekiti wa UVCCM na wengine kwenye mikoa na halmashauri? Ukimaliza ndiyo utaje kanda ya Ziwa.Ushahidi ni huu. Serikali yake ilijaa watu wa kanda ya ziwa.
Kwa miaka 6 tuliwekwa rumande Tanzania. Ukifunua mdomo ni .....Na alikuwa wapi muda wote huo kusema... Anasuburi mtu afe!
Haahaa usitake tuamini unachoamini weweKukumbushia tu Mbowe alikuwa ni mdaiwa sugu ata NHC ndio kilichopelekea kunyang’anywa jengo alikokodi Billcanas na ofisi za Magazeti yake; aitokuwa jambo la kushangaza kama alikuwa na malimbikizo TRA yanayofikia billioni mbili.
Mambo ya siasa hayo mkuu,we unashangaa Jiwe kuitwa shetani ? humu watu washamuongelea mbovu hadi Mungu mwenyewe ndio itakuwa huyo Magufuli.
Alichomfanyia nafikiri mnajua. Ndiyo alianza naye.Inasemekana Manji alishawahi mwambia "siongei na mbwa,naongea na mwenye mbwa" enzi za JMK
Alikuwa LuciferMagufuli hakuwa Binadamu, alikuwa ni Shetani mwenye umbile la Binadamu, yaani ni Lucifa aliyekuja kuitawala Tanzania,halafu kuna majibwa humu yaona alikuwa mtu, yaani katili huyu katesa sana Watu.