Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

Hakuwa hata na cheti cha kuzaliwa atakuwa kapata hiki cha tarehe 17.03.2021.
Kabisa mkuu. Yule kwa historia ni wahamiaji toka Burundi. Na ilishasemwa na alijitetea kuwa ni babu yao ndiyo alihamia akamzalia baba yake Tanzania hivyo eti walichukua uraia. Hivyo ujue damu ike ya utesaji ina uasili wake.
Sijui CCM chama changu mlimtoa wapi huyo mtu mkakubali kumpa nchi. Anyway Mungu alishatusaidia kuamua.
 
Mojawapo ya Madhara ya chanjo ya CORONA, ASTRAZENECA ni kubwabaja maana damu huganda
 
Mbowe mbona haya unayasema sasa?

Maana kama mti mbichi ulikuwa wafanyiwa hayo, je mti mkavu ambao no wafuasi wa chama chako je?
Kila mtu anasema sasa. Hata Ndugai anasema sasa.... Hivi unafikiri, JPM angekuwa Hai hata hiyo report ya CAG inge toka hivyo kama ulivyoisikia!?
 
Kama ulivyoamini habari ya rais kuwa yuko ofisini anachapa kazi ama?
Juma tatu ya week aliotangazwa marehemu mama Samia alikuwa Tanga, akaombwa kiji barabara kutoka kwenye kiwanda alichoenda fungua kuunganishwa na main road. Alipojibu atawaagiza TARURA wajenge wenye akili timamu wakaunganisha dots; you know why?

Sasa ndio ije kuwa uongo usio add up kabisa, kama huo wa Mbowe. Kwanza mtu mwenyewe ana historia ya kutopenda kulipa madeni ya serikali NHC miaka 5 kabla ya kuchukua majengo yao alikuwa ajalipa kodi.
 
Mbowe amekosa Utu, hivi inawezekanaje leo hii anamkashifu na kumshambulia mtu aliye kufa?!!! ili iweje sasa?

watanzania walio wengi waneumia sana kwa kuondokewa na Huyo unaye mkashifu leo hii.
huu sio uungwana
Mbowe mbona hajamkashifu magufuli?kuna sehemu kamtaja Marehemu hapo?!yeye amewaongelea TRA au nimeona vibaya?!!
 
Sikia wewe fala, Mbowe ana akaunt za Benk hadi nje ya nchi,hana njaa Kama hilo katili la Chato
Mweleze kabisa mkuu. Mbowe kwao alizaliwa akaikuta pesa na vitega uchumi ndani na nje ya nchi. Hii familia ndiyo ilikuwa inafadhili baadhi ya mambo Awamu ya Kwanza. Iko respected. Hao majuha wanafikiri mbowe ni saizi yao. Usimwone simple pesa ipo.
 
Alikuwa mtu wa visasi asiyejali utu, Siasa za upinzani kwake ilikuwa ni vita kamili.
 
Ushahidi ni huu. Serikali yake ilijaa watu wa kanda ya ziwa.
Mbona hujamtaja Dotto James na yule Mwenyekiti wa UVCCM na wengine kwenye mikoa na halmashauri? Ukimaliza ndiyo utaje kanda ya Ziwa.
 
Dubwasha lilijifi. Huko aliko hana mwili, umeshaoza. Roho yake inataabishwa kuzimu. Mbowe yupo na maisha yanaendelea
 
Maneno aliyokua anayahubiri Maghufuli huko majukwaani ni tofauti na matendo.
Alituaminisha kuwa yeye ni mpenda haki,kumbe ni mkandamizaji na mtu wa visasi.
Maghufuli atakumbukwa kwa mabaya mengi aliyofanya ili kuangamiza upinzani
 
Kukumbushia tu Mbowe alikuwa ni mdaiwa sugu ata NHC ndio kilichopelekea kunyang’anywa jengo alikokodi Billcanas na ofisi za Magazeti yake; aitokuwa jambo la kushangaza kama alikuwa na malimbikizo TRA yanayofikia billioni mbili.
Haahaa usitake tuamini unachoamini wewe
Tunajua TRA ni wapenda dhuluma
Hata mama Samia ashakataa kodi za dhuluma
 
Back
Top Bottom