Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,928
Kabisa mkuu. Yule kwa historia ni wahamiaji toka Burundi. Na ilishasemwa na alijitetea kuwa ni babu yao ndiyo alihamia akamzalia baba yake Tanzania hivyo eti walichukua uraia. Hivyo ujue damu ike ya utesaji ina uasili wake.Hakuwa hata na cheti cha kuzaliwa atakuwa kapata hiki cha tarehe 17.03.2021.
Sijui CCM chama changu mlimtoa wapi huyo mtu mkakubali kumpa nchi. Anyway Mungu alishatusaidia kuamua.