Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

Kwa miaka 6 tuliwekwa rumande Tanzania. Ukifunua mdomo ni .....
Mungu ni mkubwa mno alitusikia.
Ila ukubwa wake haukutosha kuondoa corona kama ambavyo Jiwe alikuwa akitegemea au tatizo nini unafikiri?
 
Aisee tunapata news za kutisha. Warudi hapa chini waongee wote. Inasikitisha mno.
 
Mbowe ni muongo.

Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?
Fungua akili kidogo basi. Sio kila mtu unafanana naye, kumbuka Mbowe ameingia kwenye biashara iliyojengwa tangu 1930s...wafanya biashara wakubwa hawaweki pesa pahala pamoja.
 
Kama hakufata sheria..alitaka iweje!!! Kama alifata aende mahakamani..

Ila nawashangaa wengi.. maneno mengi kama vile uongozi wote umebadilika ukaja mpya kutoka sijui safari ipi.. na sheria za nchi zimekutwa..

Waendelee tu kuongea...........
Vipi unamuunga mkono mama samia? Btw nina bottles of champagne for you please would you accept? For love [emoji173]
 
Kama hakufata sheria..alitaka iweje!!! Kama alifata aende mahakamani..

Ila nawashangaa wengi.. maneno mengi kama vile uongozi wote umebadilika ukaja mpya kutoka sijui safari ipi.. na sheria za nchi zimekutwa..

Waendelee tu kuongea...........
Kwa hiyo Mh. Samia anaropoka sio? Rais kaamuru sasa, subirini tutaona mengi.

CCM yetu asilia inarudi kwenye hatamu
 
Mbowe amekosa Utu, hivi inawezekanaje leo hii anamkashifu na kumshambulia mtu aliye kufa?!!! ili iweje sasa?

watanzania walio wengi waneumia sana kwa kuondokewa na Huyo unaye mkashifu leo hii.
huu sio uungwana
Alipokuwa hai mlisema tusimseme anatekeleza

Alipofariki mnasema tusimseme tupo msibani na maombolezo ya siku 21

Yameisha mnasema anamshambulia hayati...Magufuli hasemwi kama mtu bali kama Rais tuliyemwajiri na kodi zetu na anapaswa kuwajibika kwetu akiwa hai au mfu ....msitupangie ebooo!!!!!
 
kuna dikteta anayechanguliwa kwa asilimia 80+ ya kura halali?
Kura laki 9 mwaka 2015 na 2020 matokeo yalikuwa tayari kwenye karatasi yakabandikwa tu. Kwani kura zilihesabiwa 2020?
Acha Mungu aitwe Mungu.
 
Mjane unateseka sana sana.
Shetani ameshindwa.
Watanzania hakika tumeshinda.
 
Mbowe ni muongo.

Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?

Hakuna uwezekano wa yeye kuwa na Pesa nyingine zaidi ya zilizopo TZ (Ng'ambo)?

Kuna mambo huwa mnavamia kuyajadili ilhali uelewa wenu ni mdogo kupindukia.
Yaani hai inasikitisha.
 
Roho mbaya tuum...

MBONA JK alikaa nao meza moja na walimpa suport ya kutosha tuu
Imagine mtu sababu yeye haruhusiwi kupanda ndege umbali mrefu sababu ya pacemaker akazuia watumishi wa umma safari za nje kwa kisingizio cha uzalendo na kubana matumizi...aliona wangefaidi sana

Huyu jamaa huyu
 
Mbowe ni muongo.

Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?
Kweli kiazi kikichacha kinakuwa kilaza...
 
mwanaume wa kweli haishiwi mbinu na wala hafi njaa,acha ulumumba wewe
Hiyo misukule iliyozoeshwa kulishwa kwa fedha zetu walizotupora Watanzania,hawezi kuelewa juu ya "uanaume halisi".
Wanaume halisi tumeporwa koroshoni,madukani ya kubadilisha fedha lakini Mungu alivyo Mwema na Mwaminifu kwa wamtumainio,hatujatetereka,kama Mlima Sayuni.
Katetereka yeye na kwenda zake huko.
 
Muosha huoshwa kwa Sasa tuna amani tele moyoni sote tunapita Ila JPM alikuwa shida roho ngumu nadhani hata funza hawawezi kuozesha ule mwili miaka ikawa Kama imesimama Hali ya uchumi ikapinduka tabu na umasikini mkubwa biashara kufa Kila uchwao, Milo ikawa miwili tu kwa shida kumbe yeye ni mijizi mwenzie yalikuwa yanakula kwa mirija kwenye mikataba ya hovyo na plea bargain, Asante Mungu kwa miujiza uliyofanya kwa Mtusi
 
Fedha za kuwekeza nchi nyingine alizitoa wapi ikiwa account zake zilifungwa including hiyo binafsi. Mijitu mingine inaibuka leo hii utadhani misukule from 2018 up to know duh!?... Na Samia akijifanya na mswahili swahili kuisikiliza hii mijibwa nchi itamshinda mchana kweupe.

Ngoja tuone anakoelekea...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…