Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,356
- 38,922
Alikuwa mrundi huyo jamaa muhutu au mnyarwanda.muhutuwatanzania hatuna ukatili wa kiwango hiki. uraia wa huyu mtu uchunguzwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa mrundi huyo jamaa muhutu au mnyarwanda.muhutuwatanzania hatuna ukatili wa kiwango hiki. uraia wa huyu mtu uchunguzwe
Ila ukubwa wake haukutosha kuondoa corona kama ambavyo Jiwe alikuwa akitegemea au tatizo nini unafikiri?Kwa miaka 6 tuliwekwa rumande Tanzania. Ukifunua mdomo ni .....
Mungu ni mkubwa mno alitusikia.
NtuMagu hakuwa binadamu bali mtu.
Sijui alidhani Mbowe angeunga mkono juhudi!!!
Aisee tunapata news za kutisha. Warudi hapa chini waongee wote. Inasikitisha mno.Mo siku akifunguka jinsi alivyolazimishwa kuhamisha hela siku alipotekwa ndipo mtajua kuwa hamjui. Nina ushahidi wa wazi wazi jinsi Jiwe alivyopora uwekezaji wa watu kwa kuwatisha. Yani ulikuwa unawekwa kwenye chumba usiku wa manane kazi ilikuwa moja kusaini nyaraka ama ukutane na chuma.
Kuna mmoja alisainishwa nyaraka usiku wa manane ili makampuni yake yataifishwe na hakuwa na jinsi maana TAKUKURU walikuwa wanamtisha kuwa akikaidi hatorudi tena kwao.
Yani kikosi kazi cha Jiwe kilikuwa kinaandaa nyaraka then unachukuliwa unapelekwa juu ghorofani na unakaa nao wewe peke yako! Hata mwanasheria wako haruhusiwi kuwepo.
Ebwanaeee Nenda zako mzee!
Fungua akili kidogo basi. Sio kila mtu unafanana naye, kumbuka Mbowe ameingia kwenye biashara iliyojengwa tangu 1930s...wafanya biashara wakubwa hawaweki pesa pahala pamoja.Mbowe ni muongo.
Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?
Japo imeua ndugu na marafiki zetu ila imetusaidiaIla ukubwa wake haukutosha kuondoa corona kama ambavyo Jiwe alikuwa akitegemea au tatizo nini unafikiri?
Vipi unamuunga mkono mama samia? Btw nina bottles of champagne for you please would you accept? For love [emoji173]Kama hakufata sheria..alitaka iweje!!! Kama alifata aende mahakamani..
Ila nawashangaa wengi.. maneno mengi kama vile uongozi wote umebadilika ukaja mpya kutoka sijui safari ipi.. na sheria za nchi zimekutwa..
Waendelee tu kuongea...........
Kwa hiyo Mh. Samia anaropoka sio? Rais kaamuru sasa, subirini tutaona mengi.Kama hakufata sheria..alitaka iweje!!! Kama alifata aende mahakamani..
Ila nawashangaa wengi.. maneno mengi kama vile uongozi wote umebadilika ukaja mpya kutoka sijui safari ipi.. na sheria za nchi zimekutwa..
Waendelee tu kuongea...........
Alipokuwa hai mlisema tusimseme anatekelezaMbowe amekosa Utu, hivi inawezekanaje leo hii anamkashifu na kumshambulia mtu aliye kufa?!!! ili iweje sasa?
watanzania walio wengi waneumia sana kwa kuondokewa na Huyo unaye mkashifu leo hii.
huu sio uungwana
Kura laki 9 mwaka 2015 na 2020 matokeo yalikuwa tayari kwenye karatasi yakabandikwa tu. Kwani kura zilihesabiwa 2020?kuna dikteta anayechanguliwa kwa asilimia 80+ ya kura halali?
Mjane unateseka sana sana.Halafu Mbowe anataja kua Hayati Magufuli alikua na upendeleo wa kindugu, neportism, anaweza kutupatia ushahidi kua kulikua na upendeleo huu na huu wa kindugu wakati wa Magufuli?
Tupate ushahidi wa ndugu zake na Magufuli ambao aliwapendelea na hawakua na sufa kwenye nafasi za kiutumishi.
Hii kampeni ya ukabila inapigiwa chapuo sana na makabila ya kaskazini. Wanajitahidi kutaka kufukia tabia yao ya ukabila nchi hii. Mfano, Kimei amejaza wachaga CRDB.
Mbowe ni muongo.
Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?
Imagine mtu sababu yeye haruhusiwi kupanda ndege umbali mrefu sababu ya pacemaker akazuia watumishi wa umma safari za nje kwa kisingizio cha uzalendo na kubana matumizi...aliona wangefaidi sanaRoho mbaya tuum...
MBONA JK alikaa nao meza moja na walimpa suport ya kutosha tuu
Kweli kiazi kikichacha kinakuwa kilaza...Mbowe ni muongo.
Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?
Hiyo misukule iliyozoeshwa kulishwa kwa fedha zetu walizotupora Watanzania,hawezi kuelewa juu ya "uanaume halisi".mwanaume wa kweli haishiwi mbinu na wala hafi njaa,acha ulumumba wewe
thibitisha kauli yako.Kura laki 9 mwaka 2015 na 2020 matokeo yalikuwa tayari kwenye karatasi yakabandikwa tu. Kwani kura zilihesabiwa 2020?
Acha Mungu aitwe Mungu.
Kweli kiazi kikichacha kinakuwa kilaza...Sasa naamini kuna kampeni chafu ya kumchafua JPM!
Kama ni toka 2018 alishindwa nini kuitumia ktk siasa za uchaguzi kama ilivyo kwa wanasiasa wetu kutafuta sympath!
Hutu.Ila wasukuma wana sifa ya kuwa na roho nzuri[emoji848]