Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

kuna dikteta anayechanguliwa kwa asilimia 80+ ya kura halali?
Uchaguzi halali upi?
FB_IMG_16045693855401729.jpeg
 
Mbowe ni mstaarabu sana
Kuna watu wanahoji pesa za kufungua biashara nje ?? Kama amekopa huko alikoenda aje awaambie?
Mbowe heshima kwako!
Umepigilia msumari kwa Wastaafu na 'JayWee' aka wajeda (haya makundi mawili yamewakosea sana WaTz) wapo kimya kama wamehama nchi yote yametendeka yanatendeka wapo tu
 
ila mimi tangu mtu huyu alewe na kuanguka kwenye ngazi ya nyumba yake kisha kuwasingizia ccm wamempiga simuamini hata kidogo, au mnataka kusema kale ka movie nako walimtengenezea maana tulipata ushahidi mpaka kwa majirani tuliona wanashuhudia ni kweli alianguka mwenyewe
 
Mbowe ameongea lakini hakuongea kama kiongozi wa siasa anayejua wanachama wake wanataka nini, kufungiwa akaunti zake ni jambo binafsi kuliko kuwazungumzia covid 19 ambalo ni jambo la kichama na kitaifa.
 
Mbowe ni muongo.

Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?
ni vizuri ufuatilie historia ya mtu kuliko kuleta siasa kwenye mambo muhimu ya nchi, muulize hata mzazi wako.
 
Halafu Kuna vilaza Face Book vinapinga,vinatetea na kusikitika akikaangwa na CAG.

Vijitu vinavyoitwa vinyonge vina Chuki Sana na watu wenye maendeleo,

Kwa kuwa alitesa wafanyakazi,wafanyabiashara,matajiri na watu wenye mafanikio hivyo vijitu vinyonge vya Face book vinamuona shujaa.
Shujaa makopo.
Masikini ni kiumbe mwenye roho mbaya sana sana
 
Mwenyezi Mungu Kandamiza mawe yote ya stone town juu ya jiwe huyu.
 
Mmeaminishwa ujinga mkubwa sana,
kila aliefanikiwa katika biashara zake ni mwizi
Mara ya mwisho ya huu ujinga uliletwa na Sokoine, mpaka Nyerere mwenyewe hakupenda
Sokoine hakuchukua raundi tulimzika, na sasa huyu Kenge tumemzika
Jamani ameshakufa huyo, kwisha habari yake....
Kumbe na sokoine alikuwa na sera hizi mkuu?
 
Mbowe ni muongo.

Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?
we mnyonge tuliza akili, mbowe ni mfanyabiashara wa kimataifa,
 
Imagine mtu sababu yeye haruhusiwi kupanda ndege umbali mrefu sababu ya pacemaker akazuia watumishi wa umma safari za nje kwa kisingizio cha uzalendo na kubana matumizi...aliona wangefaidi sana

Huyu jamaa huyu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787] au nasema uwongo ndugu zangu
 
Mbowe anatumia chama chake kutetea mambo yake binafsi ya kibiashara.

Endapo Serikali yetu itaendekeza Tabia mbaya kama aliyo ionyesha Mbowe, basi kila mfanya biashara ktk nchi hii atatumia ujanja wake ilimradi tu aonewe huruma asilipe kodi kwa kisingizio.....eti.....alionewa!!! hakika serikali itaambulia patupu!!! na ulaghai wa kulipa kodi utashamiri na mapato lazima yatapungua.

Ifahamike kuwa wafanya biashara walio wengi wana HULKA ya kukwepa kulipa kodi wengi wao wanataka faida kubwa zaidi kwa njia yoyote ile.
 
Mbowe ni mnafiki mbona hakusema haya kipindi cha JPM ,anazidiwa na msukuma aliewasemea wafanya biashara JPM akiwa hai
 
Back
Top Bottom