KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Eeenh, Magufuli alikuwa ni mtu wa shari sana.
Mtu mwenye roho mbaya kwelikweli, iliyokaribiana na ya shetani.
Mtu mwenye roho mbaya kwelikweli, iliyokaribiana na ya shetani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mkuu, Najua ulikua safarini, hujapata khabari za mambo yaliyo tupata?! Task force ilikusanyia mifuko hewa, ilipora na kunyang’anya, na kubwa zaidi tulipata msiba mkubwa wa kitaifa majuzi!!Unalialia nini ww mkwepa kodi😜! Ulizoea kukwepa kodi na kujifanya mwamba! Wamekuja wanaojua kazi zao kukusanya maduhuri unalialia mfyuuuuuu! Unatafuta huruma eeh! Kalipe kodi kaka hutaki dhida vinginevyo utalaumu wasiolaumiwa! Safi sana wakusanya kodi, mlifanya kazi njema💪!
Mmeaminishwa ujinga mkubwa sana,Duuh itakua kuna kitu anafanya behind the scenes maana haiwezekani ikawa hivi hivi tu.
Mh Mbowe alipitia wakati mgumu mno wakati wa Utawala wa Jiwe. Halafu eti kila mara utamsikia tumtangulize Mungu! Mniombee! Kweli tulimuombea tuliyoyajua wenyewe na Mungu wetu kajibu maombi tena kwa wakati.Magu hakuwa binadamu bali mtu.
Sijui alidhani Mbowe angeunga mkono juhudi!!!
Alikua jela,hujaelewa???Kama hakufata sheria..alitaka iweje!!! Kama alifata aende mahakamani..
Ila nawashangaa wengi.. maneno mengi kama vile uongozi wote umebadilika ukaja mpya kutoka sijui safari ipi.. na sheria za nchi zimekutwa..
Waendelee tu kuongea...........
Uhuru wa habari na maoni ni mgumu kweli kweli! Haya fungeni🤣😂🤣! Ila ukweli siku zote huwa mchungu sana, zaidi ya shubiri na ni mgumu kumeza! Tunajenga taifa na tutaendelea kulilinda dhidi wa maprofesa uchwara kana huyu assad wenu mfyuuuuu 😡!Huu huzi ufungwe. Comments za watu zinatumia maneno makali sana.
Please Moods Funga thread hii
Nawasikitikia wale Kina Mama (covid-19) waliokwenda kujiunga na Lucifa.Magufuli hakuwa Binadamu, alikuwa ni Shetani mwenye umbile la Binadamu, yaani ni Lucifa aliyekuja kuitawala Tanzania,halafu kuna majibwa humu yaona alikuwa mtu, yaani katili huyu katesa sana Watu.
Lipeni kodi bila shuruti🤣😂🤣😜! Vinginevyo hata huyu mama mtamchukia very soon! Just mark my word👊!Mh Mbowe alipitia wakati mgumu mno wakati wa Utawala wa Jiwe. Halafu eti kila mara utamsikia tumtangulize Mungu! Mniombee! Kweli tulimuombea tuliyoyajua wenyewe na Mungu wetu kajibu maombi tena kwa wakati.
Wenye Mamlaka/Madaraka wana la kujifunza. Nafikiri Mama alijua jambo na ndiyo maana akasema "bora msoto kwa siku kadhaa lkn KODI ya DHULUMA hapana"
Wewe umbwa mumeo yupo kuzimu sasa hivi [emoji3][emoji3][emoji3]Jifunze kuandika vizuri kwanza ndio uje tujadiliane.
Mwambie mumeo akufundishe kuandika vizuri ndio tujadiliane
Hana aibu wala utu wa aina yoyote, kama shetani/lucifer.Hivi Ndugai ana jisikiaje leo?
Bado ana aamini yeye ni spika au anajiona ushuzi?
Pole CHADEMA iko bado hai kabisa.Mbowe mbona haya unayasema sasa?
Maana kama mti mbichi ulikuwa wafanyiwa hayo, je mti mkavu ambao no wafuasi wa chama chako je?
Ukishakuwa Muhutu inakuwa shida sana kuelewa.Sikiliza maelezo yake mwenyewe anasema baada ya kufungiwa ndio akaamua kwenda Dubai kuanzisha biashara, hakusema kama alikua na biashara huko.
Maumivu yakizidi muone dakitari! (Hiyo ni baada ya panodol!!)Huu huzi ufungwe. Comments za watu zinatumia maneno makali sana.
Please Moods Funga thread hii
Unamsema profeserio rubbish ‘Mimacho’ kiaina?!Uhuru wa habari na maoni ni mgumu kweli kweli! Haya fungeni🤣😂🤣! Ila ukweli siku zote huwa mchungu sana, zaidi ya shubiri na ni mgumu kumeza! Tunajenga taifa na tutaendelea kulilinda dhidi wa maprofesa uchwara kana huyu assad wenu mfyuuuuu 😡!