Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

Eeenh, Magufuli alikuwa ni mtu wa shari sana.
Mtu mwenye roho mbaya kwelikweli, iliyokaribiana na ya shetani.
 
Unalialia nini ww mkwepa kodi😜! Ulizoea kukwepa kodi na kujifanya mwamba! Wamekuja wanaojua kazi zao kukusanya maduhuri unalialia mfyuuuuuu! Unatafuta huruma eeh! Kalipe kodi kaka hutaki dhida vinginevyo utalaumu wasiolaumiwa! Safi sana wakusanya kodi, mlifanya kazi njema💪!
Pole mkuu, Najua ulikua safarini, hujapata khabari za mambo yaliyo tupata?! Task force ilikusanyia mifuko hewa, ilipora na kunyang’anya, na kubwa zaidi tulipata msiba mkubwa wa kitaifa majuzi!!
 
Huu huzi ufungwe. Comments za watu zinatumia maneno makali sana.

Please Moods Funga thread hii
 
Duuh itakua kuna kitu anafanya behind the scenes maana haiwezekani ikawa hivi hivi tu.
Mmeaminishwa ujinga mkubwa sana,
kila aliefanikiwa katika biashara zake ni mwizi
Mara ya mwisho ya huu ujinga uliletwa na Sokoine, mpaka Nyerere mwenyewe hakupenda
Sokoine hakuchukua raundi tulimzika, na sasa huyu Kenge tumemzika
Jamani ameshakufa huyo, kwisha habari yake....
 
Magu hakuwa binadamu bali mtu.

Sijui alidhani Mbowe angeunga mkono juhudi!!!
Mh Mbowe alipitia wakati mgumu mno wakati wa Utawala wa Jiwe. Halafu eti kila mara utamsikia tumtangulize Mungu! Mniombee! Kweli tulimuombea tuliyoyajua wenyewe na Mungu wetu kajibu maombi tena kwa wakati.

Wenye Mamlaka/Madaraka wana la kujifunza. Nafikiri Mama alijua jambo na ndiyo maana akasema "bora msoto kwa siku kadhaa lkn KODI ya DHULUMA hapana"
 
Kama hakufata sheria..alitaka iweje!!! Kama alifata aende mahakamani..

Ila nawashangaa wengi.. maneno mengi kama vile uongozi wote umebadilika ukaja mpya kutoka sijui safari ipi.. na sheria za nchi zimekutwa..

Waendelee tu kuongea...........
Alikua jela,hujaelewa???
 
Huu huzi ufungwe. Comments za watu zinatumia maneno makali sana.

Please Moods Funga thread hii
Uhuru wa habari na maoni ni mgumu kweli kweli! Haya fungeni🤣😂🤣! Ila ukweli siku zote huwa mchungu sana, zaidi ya shubiri na ni mgumu kumeza! Tunajenga taifa na tutaendelea kulilinda dhidi wa maprofesa uchwara kana huyu assad wenu mfyuuuuu 😡!
 
Magufuli hakuwa Binadamu, alikuwa ni Shetani mwenye umbile la Binadamu, yaani ni Lucifa aliyekuja kuitawala Tanzania,halafu kuna majibwa humu yaona alikuwa mtu, yaani katili huyu katesa sana Watu.
Nawasikitikia wale Kina Mama (covid-19) waliokwenda kujiunga na Lucifa.
 
Mh Mbowe alipitia wakati mgumu mno wakati wa Utawala wa Jiwe. Halafu eti kila mara utamsikia tumtangulize Mungu! Mniombee! Kweli tulimuombea tuliyoyajua wenyewe na Mungu wetu kajibu maombi tena kwa wakati.

Wenye Mamlaka/Madaraka wana la kujifunza. Nafikiri Mama alijua jambo na ndiyo maana akasema "bora msoto kwa siku kadhaa lkn KODI ya DHULUMA hapana"
Lipeni kodi bila shuruti🤣😂🤣😜! Vinginevyo hata huyu mama mtamchukia very soon! Just mark my word👊!
 
Kama serikali inayoongozwa na CCM yangu ilifikia hapo basi tunawajibu mkubwa kuomba radhi kwa waathirika wa siasa zetu za kindakindaki.

Pole sana Mbowe.
Nimejisikia vinaya mno
 
Dah marehemu hasemwi vibaya jamani...

Tumuache apumzike mahali pema peponi..

Asamehewe pale alipokosea japo ndio hatuwezi futa alichofanya.
 
Halafu mnataka like jiwe lionekane litakatifu jitu lilikuwa na Roho mbaya kuliko hata wachawi

Yaani hii Nchi imepitia maumivu makubwa Sana yule mshenzi hakufaa hata kuwa raia wa kawaida wa Taifa hili
 
Huu hali ya kusema mabaya ya marehemu sio ya
kawaida, basi alizidi sana kufanya mabaya
 
Uhuru wa habari na maoni ni mgumu kweli kweli! Haya fungeni🤣😂🤣! Ila ukweli siku zote huwa mchungu sana, zaidi ya shubiri na ni mgumu kumeza! Tunajenga taifa na tutaendelea kulilinda dhidi wa maprofesa uchwara kana huyu assad wenu mfyuuuuu 😡!
Unamsema profeserio rubbish ‘Mimacho’ kiaina?!
 
Back
Top Bottom