Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Muamuzi ni MunguTuliambiwa tutaondoka mjini,na tulipewa muda anayekumbuka ilikuwa hadi lini vile?,ila Mimi bado nadundazi japo kinyonge Sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muamuzi ni MunguTuliambiwa tutaondoka mjini,na tulipewa muda anayekumbuka ilikuwa hadi lini vile?,ila Mimi bado nadundazi japo kinyonge Sana
Hizo porojo za Mamluki Lijuakali zilishafika TAKUKURU ambayo ni yenu , mbona hawatoi matokeo ya uchunguzi ?Mboww NI tapeli tu
Nae akamatwe kula hela za chama
Dr Mpango ni shahidi Muhimu na anajua kila kitu
Mkuu hao wote hawana mwisho mwema, ni suala la muda.Kikundi cha wasiojulikana ambao baadhi walijulikana baadae akina Heri kisanduku, nyaulingo, Bashite, cyprian Musiba wana hali ngumu sana ingawa Bashite katengeneza kikundi cha propaganda mitandaoni cha kumchafua kikwete kwa nguvu kubwa ili kuwasahulisha watanzania juu ya uonevu wao pindi wakiwa madarakani
Kwa hiyo kama aliuza asset zake lazima akuambie?Mbowe ni muongo.
Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?
Kwan ni formula? Kwan hayo Aliyoonge a ni uongo? Labda kama umeanza siku Hizi kufatilia habarSasa naamini kuna kampeni chafu ya kumchafua JPM!
Kama ni toka 2018 alishindwa nini kuitumia ktk siasa za uchaguzi kama ilivyo kwa wanasiasa wetu kutafuta sympath!
Mtu mjinga weweTUHUMA ZA MBOWE ZINAACHA MASWALI MENGI.
*
Mbowe kabla hata ya kujisafisha na uongo wake wa kulewa na kuangushwa na konyagi nyumbani kwa hawara Joyce Mkuya kisha kulitangazia taifa kwamba amepigwa na wasiojulikana, amekuja na igizo jingine kwamba alifilisiwa na akaunti zake zote zilifungwa na TRA!..
Kulipa kodi ni wajibu acha porojo minyooWatanzania wa wapi unawasemea? Mzunguko wa pesa ulipotea, watumishi wa umma miaka mitano bila nyongeza za mishahara, wafanyabiashara kutwa kubambikiwa kodi wanafungiwa account zao, wewe utakuwa ni mnufaika wa udikiteta wa marehemu magufuli
Acha wivu! Ulitaka aendelee kuwa masikini wakati anafanyakazi nzuri na analipwa mshahara na marupurupu? Ungekuwa wewe ungebaki masikini tu?Doto aliteuliwa akiwa maskini lakini sasa ni tajiri kuliko Maelezo
Magufuli kaacha legacy za kujivunia kama vile kaongeza shule, kaongeza hospital, viwanja vya ndege, barabara za juu na chini, Stand mpya za mabasi kubwa na za kisasa tena katika mikoa mbali mbali, upanuzi wa mabarabara, daraja la salender bridge, nidhamu makazini, kawabana wakwepa kodi, kawabana mashoga, kawabana mateja na wauzaji wao, I mean jamaa kafanya mengi ya maana na ya faida.Hivi meko aliwezaje kuteka akili za mataga kwa kiwango kile mpaka wakamwamini eti kuwa ni mzalendo na anapambana na ufisadi? Ama kweli kuwa CCM inahitaji kujitoa ufahamu.
Utapeli unakuja baada ya kugusa vyanzo vyako vya kutumia upepo wa magufuli kuwapora watu mali zao, muulize polepole ile pesa za ununuzi wa wabunge wa upinzani alipeleka wapi maana wapo waliogoma kununulikaMbowe ni tapeli tu
Nae akamatwe kula hela za chama
Ruzuku ya CCM ndiyo inapigwa sana hata marehemu magufuli kaipiga sana enzi zake, miradi mingi ikiwemo kiwanja cha Ndege cha nyerere flyover vilianza kipindi cha Kikwete yeye kavikuta kamalizia tu cha ajabu sifa zote mnampa yeye, mmesahau wengine, magufuli kaacha legacy ya uonevu kuwabambikia kesi za utakatishaji fedha uhujumu uchumi wapinzani na wafanyabiasharaMagufuli kaacha legacy za kujivunia kama vile kaongeza shule, kaongeza hospital, viwanja vya ndege, barabara za juu na chini, Stand mpya za mabasi kubwa na za kisasa tena katika mikoa mbali mbali, upanuzi wa mabarabara, daraja la salender bridge, nidhamu makazini, kawabana wakwepa kodi, kawabana mashoga, kawabana mateja na wauzaji wao, I mean jamaa kafanya mengi ya maana na ya faida. Haya ebu na ww nipe legacy ya maana aliyoacha Mbowe kule jimboni kwake kama mbunge maana anakula kodi zetu kupitia ruzuku ya chama na mshahara wa bunge bila kufanya lolote la maana.
Halafu kuna choko imesimama bungeni kusema hilo ni tatizo la bot na benki ya mhusika. Kwamba Mh Rais alipo sema Tra wana funga akaunti za watu sio sahihi.Katibu wa makampuni yake mwenyewe, mpokeaji wa barua pepe za kampuni mwenyewe, Mwenyekiti mwenyewe, Messenger mwenyewe! What a shame kwa kiongozi mkubwa kama Mbowe!
No wonder hata CHADEMA uendeshaji wake ndiyo huo huo! Form za kujaza taarifa za TRA zinataka kuweka barua pepe ambayo mlipa kodi anaweza kufikiwa, na simu zisizopungua tatu. Kwa hiyo vyote vyote kwenye makampuni yake anatembea navyo yeye!
WHAT A SHAME!