Hilo ni bumunda lililo vunda.Mbarawa amesema kilichosainiwa siyo MKATABA Bali ni MKATABA"
Mwenyekiti kusema hakuna maana anasema mawazo yake mwenyewe, huyo anasema maazimio ya vikao vyao halali vya chama, hivyo hapo sioni suala la yeye kuteleza.CHADEMA Msemaji Mkuu wa Chama ni Mwenyekiti? Hii sio vizuri sana kiutendaji maana Mwenyekiti anaweza kuteleza mahalali mkapata shida ya kusahihisha kama Chama.
Embu hili mkalikatazame kwenye Katiba yenu.
AahaaaaaMbarawa amesema kilichosainiwa siyo MKATABA Bali ni MKATABA"
Unasubiria kwa hamu ili uanze kupinga kwa vihoja vyako!.Asante sana, tunasubiria kwa hamu.
P
Hata Kwa goli la mkono Samia 2025 lazima awe rais.Saa100 kukaa kimya ni kusababisha uonekane 2025 hukubaliki.
Tokea nje ongea na watanganyika ndipo kura ziliko vinginevyo utakwenda kulima karafuu 2025.
Ona hii simblizi
SawaHata Kwa goli la mkono Samia 2025 lazima awe rais.
Labda uwe tasa.Hata Kwa goli la mkono Samia 2025 lazima awe rais.
VizuriMwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe atazungumza na watanzania kupitia mkutano na Waandishi wa Habari katika Ofisi za Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni, juu ya maazimio ya Kamati Kuu ya Chama iliyoketi Julai 08, 2023 kuanzia saa 8:00 mchana huu.
Yote yanayojiri utayapata hapa.
View attachment 2687669
Samia anaipeleka tz kaanani nchi yenye maziwa na asali so Acha uogaLabda uwe tasa.
Ila ukizaa tu ujue watoto ns wajukuu wako hawajui watakula nini wala wataishi wapi.
Atatuachia manyoa huyu mama.
Asali bila nyuki?Samia anaipeleka tz kaanani nchi yenye maziwa na asali so Acha uoga
ππππAsali bila nyuki?
Hizo konyagi na mbege anazokunywa zinalipia Kodi ambayo imemsaidia Samia kuhongwa wabunge wapitishe mkataba wa DP WorldKama katupia konyagi zake alizomikisia mbege Bora mmzuie mapema! Hachelewi kuropoka utumbo Yule!