Freeman Mbowe: Tunazindua "Operation +255 Katiba Mpya Okoa Bandari Zetu" kuwaambia watanzania ubaya wa Mkataba wa DP World

Freeman Mbowe: Tunazindua "Operation +255 Katiba Mpya Okoa Bandari Zetu" kuwaambia watanzania ubaya wa Mkataba wa DP World

CHADEMA Msemaji Mkuu wa Chama ni Mwenyekiti? Hii sio vizuri sana kiutendaji maana Mwenyekiti anaweza kuteleza mahalali mkapata shida ya kusahihisha kama Chama.
Embu hili mkalikatazame kwenye Katiba yenu.
 
Hapo kwenye msimamo mkuu wa chama nimepapenda sana, mkataba ule wa hovyo ni wa kuvunjwa wote, na sio kufanyiwa marekebisho baadhi ya vipengele kama wengine wanavyotaka.

Samia yeye yuko busy na uapisho kama kawaida yake, teua, tengua, apisha, dalili ya akili ndogo, kuwaza madogo tu, huku makubwa kama ya mkataba wa hovyo wa DPW anayazibia masikio, hasara tupu!.
 
CHADEMA Msemaji Mkuu wa Chama ni Mwenyekiti? Hii sio vizuri sana kiutendaji maana Mwenyekiti anaweza kuteleza mahalali mkapata shida ya kusahihisha kama Chama.
Embu hili mkalikatazame kwenye Katiba yenu.
Mwenyekiti kusema hakuna maana anasema mawazo yake mwenyewe, huyo anasema maazimio ya vikao vyao halali vya chama, hivyo hapo sioni suala la yeye kuteleza.
 
Kama katupia konyagi zake alizomikisia mbege Bora mmzuie mapema! Hachelewi kuropoka utumbo Yule!
Hizo konyagi na mbege anazokunywa zinalipia Kodi ambayo imemsaidia Samia kuhongwa wabunge wapitishe mkataba wa DP World
 
Back
Top Bottom