Pendragon24
Member
- Aug 8, 2018
- 68
- 97
Kesho ni siku ya kuweka kumbukumbu nyingine ya kutetea uhai wa wananchi wa taifa hili.
Tuache kuandamana kwa mazoea tunapaswa kuandamana kwa hasira kubwa ili watawala hawa dhalimu waache mara moja tabia za kuteka,kuuwa na kunyanyasa wananchi wasio kuwa na hatia.
Tuache tabia za kuandamana mitandaoni kama ilivyo desturi yetu tilio wengi.
Tujitokeze hadharani kwenye kila kona ya jiji la dar es salaam na kwingineko.
Tuingie mtaani physical tusibaki vyumbani mwetu na kuwa keyboard demostraterz njooni hadharani.
Hatuna mtu wa kumwogopa ndani ya taifa letu, ndani ya nchi yetu.
Tukumbuke unyama aliofanyiwa mzee Ally Kibao kushushwa kwenye gari na kupelekwa kusikojulikana na ndani ya siku chache maiti yake kuokotwa ikiwa imejeruhiwa vibaya haitazamiki hata mwanae wa kumzaa ameshindwa kumtambua pale mochwari Mwana nyamala.
Ukatili dhidi ya sativa na watu wengine tuliokuwa nao na leo hawapatikani Soka na wenzake.
ACT WAZALENDO tumeona ushauri wenu lakini nataka niwaambie tumeupokea ushauri huo ila TUMEUPUUZA na kesho maandamano yataendelea kama kawaida kwa kasi na nguvu kubwa.
Aluta continue👊