Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe usiwanyime wengine Ubunge kisa wewe hujashinda

CHADEMA waache ubinafsi na ubaguzi kwa wanawake walioshinda viti maalumu, mbona wao walishinda dhidi ya tume hii hii na wakaenda bungeni?

Bunge kiwe na chama kimoja tu ili maendeleo yawe makubwa
 
Viongozi wana wajibu ya kuwasikiliza wanachama wao na kutenda haki.

Ngoja tuone watakavyotenda haki kama wanavyotuaminisha kwao kuna demokrasia na haki.
 
Mbowe na chama chake walishakufaga kidemokrasia kitambo.
 
Lengo limetimia... Bunge lote ni kijani, nendeni mkafanye kazi bila kelele za wapinzani

Viongozi wana wajibu ya kuwasikiliza wanachama wao na kutenda haki.

Ngoja tuone watakavyotenda haki kama wanavyotuaminisha kwao kuna demokrasia na haki.
Wanachadema hatuutambui uchaguzi uliofanyika sasa wewe unatulazimisha?
 
Wa Nkasi amesema atakwenda Bungeni kuapishwa ili awatumikie wananchi waliomchagua Sasa hapo Mbowe hataki ....dada nenda Bungeni kawawakilishe waliokuchagua
Uzuri hata Chadema wakimvua uanachama anajiunga CCM, anaendelea kuwatumikia wananchi waliomchagua.

Hana haja ya kuwa na pressure.
 
Mbowe na Zitto wamebakiza Jamii Forum, Twitter na Facebook kama majukwaa yao ya kutopoteza umaarufu wao.

Ni aina mpya ya maisha ya kisiasa kwa wao ingawa ni ngumu kuizoea. Ubunge lilikuwa jukwaa la muhimu lenye kuwaunganisha na taasisi mbalimbali za kimataifa.
 
Na wewe ulikuwa wapi Hadi hayo Mambo yote yakatendeka na Sasa unilaumu Mimi kwa hyo Hali?
Hafu Mimi sipendi chama chochote nasimamia ninachokiamini na kilicho sahihi
 
Sina ukijani wowote napenda kutumia akili na sio mihemko yenu
Hayo ndio maneno chadema wasiyotaka kuyasikia
Wanataka tuu ukubali wanachokiamini.
Wengi wao wana mitusi badala ya hoja
Kupingana kwa hoja ni elimu kubwa kwa wengi haswa kwa wasioelewa mambo kiundani
 
Bunge kiwe na chama kimoja tu ili maendeleo yawe makubwa
CCM wakichemka kuiba kura Hadi aibu, na Sasa ndio wanashtuka na kuvuta blanket wakati kumekucha, hawajui umuhimu wa mawazo mubadala.
 
Viongozi wana wajibu ya kuwasikiliza wanachama wao na kutenda haki.

Ngoja tuone watakavyotenda haki kama wanavyotuaminisha kwao kuna demokrasia na haki.
Hili swala linahitaji hekima maana na wao walishinda chini ya hii tume kwanini sasa wabadili gear angani
 
Uzuri hata Chadema wakimvua uanachama anajiunga CCM, anaendelea kuwatumikia wananchi waliomchagua.

Hana haja ya kuwa na pressure.
Na akijoin CCM watamthamini na kumtunza maana kaonyesha uzalendo wa hali ya juu. Dada wa watu ameinvest kwenye siasa atumikie wananchi na hapo hapo apate riziki yake ya kuendesha maisha, wanataka akale wapi?
 
Hili swala linahitaji hekima maana na wao walishinda chini ya hii tume kwanini sasa wabadili gear angani

Kila chama kitumie busara na kuona wafanye lipi kwa maslahi ya nchi

Kama kisusa ni suluhu na wanadhani italeta maendeleo wanayoyataka na ni sawa kwa viongozi na wanachama wao powaa
 
Hayo ndio maneno chadema wasiyotaka kuyasikia
Wanataka tuu ukubali wanachokiamini.
Wengi wao wana mitusi badala ya hoja
Hapo ndio wanapokosea na kuwa na mihemko na too much uhanarakati ambao umeshindwa kwa awamu, lazima wakae chini wafikirie new tactics kususa ni ujinga flani hivi Mimi naona
 
Hapo ndio wanapokosea na kuwa na mihemko na too much uhanarakati ambao umeshindwa kwa awamu, lazima wakae chini wafikirie new tactics kususa ni ujinga flani hivi Mimi naona
Kupanga ni kuchagua, ngoja tuione chadema itakachofanya
Wakiamua kufanya kosa kama lile la kuwafukuza tbc kwenye kampeni kisha kulaumu mikutano yao kutorushwa hewani watakua watu wasiojifunza
 
Haijalishi lakini Mbowe aache ubinafsi awaache wanawake waende Bungeni
Kwani hakuna wanawake Bungeni?Kama hoja ni wanawake.
Kama issue ni wanawake kutoka upinzani, haina haja kwa sababu upinzani mmeuzima kwa dhulma.
NB:Hizo pesa za kuwalipa special seats mkatumie kujenga flyover kule keko(HUU NI MFANO WA HOJA ZENU ZINAVYOKUWA ZA KIFALA)
 
CHADEMA waache ubinafsi na ubaguzi kwa wanawake walioshinda viti maalumu, mbona wao walishinda dhidi ya tume hii hii na wakaenda bungeni?
Chama hakichagua wala kwanini mnalazimisha mambo wkati mnahitaji bunge lá chama kimoja,?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…