Wasusieni ccm basi maana hapo ccm hawana shida Ila mnajikomoa nyie ka chama maana mtasahaulika uwepo wenu mtajuta na ccm inaweza kukipa power chama kingine Cha upinzani ndio mtajutra, Cuf walisusa nini walichokipata?Chama hakichagua wala kwanini mnalazimisha mambo wkati mnahitaji bunge lá chama kimoja,?
Shida Wana mihemko kuliko uhalisia wa Mambo kususa jambo haiujawahi kuwa solutions ka Cuf walisusa na bunge likaendelea wanafikiria wakisusa Wana mkomoa Nani zaidi ya kupoteza wapiga kura na kutokuaminika tenaKupanga ni kuchagua, ngoja tuione chadema itakachofanya
Wakiamua kufanya kosa kama lile la kuwafukuza tbc kwenye kampeni kisha kulaumu mikutano yao kutorushwa hewani watakua watu wasiojifunza
Masilahi ya nchi ni muhimu ili kuwe na balance sasa wakitumia hasara ni hasara kwa taifa, tunataka kuwe na balance hata kidogo ili tupate check and balance huko bungeniKila chama kitumie busara na kuona wafanye lipi kwa maslahi ya nchi
Kama kisusa ni suluhu na wanadhani italeta maendeleo wanayoyataka na ni sawa kwa viongozi na wanachama wao powaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mbogamboga hii huruma imetoka wapi ghafla wakati mlikuwa mnataka connection ili mlete maendeleo?? Semeni tuu kwamba mmekwama kwenye muundo wa uendeshaji bunge na kuwa na kambi ya upinzani bungeni, jambo litakalowapelekea kukosa zile Trilioni 2 kutoka UN [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwani kipindi kina mnyika wanaenda bungeni watu hawakufa mfano Yale maandamano ya Arusha. Kwangu mimi acheni ubinafsi, hafu Mimi siko chama chochote ni raia wa kawaida nisiye na mihemkoa
why CCM are so concerned by the matter than CDM?Shida Wana mihemko kuliko uhalisia wa Mambo kususa jambo haiujawahi kuwa solutions ka Cuf walisusa na bunge likaendelea wanafikiria wakisusa Wana mkomoa Nani zaidi ya kupoteza wapiga kura na kutokuaminika tena
why CCM are so concerned by the matter than CDM?
CDM hawataki kushirikuana na serikali dhalim wauaji makatili sio kususa we are just avoiding you guysIssue sio CCM wala CHADEMA ila taifa.
Na pia mijadala yote ya siasa inayoendelea hapa jf kila mwenye maoni anayawakilisha iwe Chadema, CCM, ACT hata wasio na chama wanachangia kadri ya uelewa wao
wakati wanaiba kura na kuua wazanzibari walikua wanatafuta maslahi ya taifa?.....Masilahi ya nchi ni muhimu ili kuwe na balance sasa wakitumia hasara ni hasara kwa taifa, tunataka kuwe na balance hata kidogo ili tupate check and balance huko bungeni
Wametumwa hawa maana mambo huko jikoni kwao yameharibika bila kuwa na angalau wabunge 30 wa upinzani kuunda kambi ya upinzani bungeni [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi kushinda mmechinda nyinyi malalamiko ya nini tena.
Matukio yote yaliyokuwa yanaendelea kwenye uchaguzi ulikuwa kimya , now dayz kelele.
Wataendaje bungeni wakati hawana 5% inayotakiwa kwa wabunge wa kuchaguliwa?Haijalishi lakini Mbowe aache ubinafsi awaache wanawake waende Bungeni
Unafiki mbaya Sana....Mbowe nimtu mwelewa sana,atafanyia kazi huu ushauri adhimu kabisa kwa maslai mapana ya watanzania hasa kwa ustawi wa demokrasia yetu kama taifa.
Umejuaje Ni ccm wako concerned Mimi ni Raia wakawaida na sio shabiki wa ccm, so huo utoto mnaotaka kufanya CDM utawa cost Sana, ccm has nothing to loose ilanyie. Mtapotea midomoni mwa Watanzania ile kwenu, acheni kibriwhy CCM are so concerned by the matter than CDM?
Cuf walisusa nini walikipata sasa zaidi ya kupotea kabisaChama hakichagua wala kwanini mnalazimisha mambo wkati mnahitaji bunge lá chama kimoja,?
Hahahahaha leo NDIO unajua umuhimu wa vyama pinzani...ULICHOKUNYWA LEO ENDELEA KUKINYWA KILA SIKU[emoji3][emoji3][emoji3]Kujenga demokrasia ya nchi yetu changa ni swala mtambuka,sikwambii demokrasia ilivyo changa ndani ya vyama vyote CCM,Chadema,ACT,CUF n,k.
uwezi kujenga demokrasia ya taifa letu bila kuwepo na vyama pinzani kwa namna yeyote ile.
demokrasia ni eneo muhimu sana la kukuza na kujenga uchumi wa nchi yetu.
misimamo yeyote hasi yenye kukwamisha jambo ili ni yakukemewa vikali hasa kipindi iki cha sintofahamu ya uchaguzi uliomalizika juzi.
Kuna taarifa zinasambaa kuwa CHADEMA hakitachagua wabunge wa viti maalumu kwenye uchaguzi huu huku wakijua kabisa kuwa ipo kisheria.
Kutochaguliwa wabunge waliokuwa wabunge miaka 10 kutoka CHADEMA katika uchaguzi huu akiwepo Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe isiwe ndio kigezo cha kuwaminya wengine wasiingie Bungeni.
Mbona mlipochaguliwa hakuna aliyelalamika kuwa Lowassa ameibiwa hivyo mkasusa kwenda Bungeni mwaka 2015.
Waachieni na wengine wakafanye kazi za ubunge pia mbona Trump kafungasha mizigo huko White House wewe Mbowe ni Nani???
Mimi si mwanachama wa chama chochote ila mara hii nilipendezwa na Chadema halafu CCM wakapora uchaguziUmejuaje Ni ccm wako concerned Mimi ni Raia wakawaida na sio shabiki wa ccm, so huo utoto mnaotaka kufanya CDM utawa cost Sana, ccm has nothing to loose ilanyie. Mtapotea midomoni mwa Watanzania ile kwenu, acheni kibri
Wapinzani wametuchelewesha sana tangu Uhuru mwaka 1961 sasa Nani anawataka bungeni?Cuf walisusa nini walikipata sasa zaidi ya kupotea kabisaWapinzani