Pre GE2025 Freeman Mbowe: Viongozi wa CHADEMA na Watanzania wasio na Vyama wanaoendelea kutekwa na Vyombo vya Usalama vya Nchi yetu

Pre GE2025 Freeman Mbowe: Viongozi wa CHADEMA na Watanzania wasio na Vyama wanaoendelea kutekwa na Vyombo vya Usalama vya Nchi yetu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mavuvuzela wa CCM wanakuja na kujibu hoja hii kwa kejeli na kutojali, lakini uovu hauna msalie mtume records za watekaji na wauaji zinazidi kutunzwa na ipo siku ambayo haiko mbali CCM itaondolewa madarakani na wao wakiwa hai ndipo watakapo juta maana magereza yatakuwa ndio makazi yao na wengine death sentence zitawahusu.
Haki haipotei inachelewa tuu. Haiangalii jinsia pia.
 
Kuhusu utekaji kweli vyombo vya usalama vichukue hatua. Hata asingesema Mbowe bado lingesemwa tu. Uhai hauna chama wakuu. Ni huzuni kuu hutupata tukifiwa. Lakini Mbowe naye atumie hiyo nafasi adhimu kumfukuza uanachama Lissu. Anamharibia chama chake cha urithi.
 
anashangaa CHADEMA wamepata wapi hizi taarifa hasa majina ya hao Polisi wa kikosi kazi wanaotuhumiwa kwa kuteka na kupoteza raia.

Tuone kama watahubutu kumshitaki Mbowe kwa kuwaaanika hawa watu akiwemo Bosi wao Mkuu tena kwa jina na cheo chake.
 

View: https://www.youtube.com/live/JGCNth0mHCo
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe anatoa tamko la chama hiko juu ya masuala mbalimbali yanayoendelea nchini Tanzania.

Mbowe ameshusha hadhi ya chama kinachojiita Cha kidemokrasia
Ile credibility ya 2014 imepotea kabisa

Ameshusha Imani ya chama
Kipo tu kwa sababu ya historia yake

Ni ngumu kiaminika Baada kuingiza chama chaka 2015
Ilipaswa awajibike kwa maslahi ya kulinda chama
Kwa Sasa anaonekana tapeli na dictator tu wa chama Cha siasa
 
Akitaja ziliko hela zetu za join the chain na tulizochanga kwa ajili ya gari la Lisu mnistue
 
Tafuteni solution ambayo itakuwa ndani ya uwezo wenu kukomesha haya yanayoendelea na mazingira yenu yakufanya siasa yawe mepesi.
 
Back
Top Bottom