milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Polisi wameingiliwa mfumo na wajibu wao na kundi jingine,mwisho polisi wenyewe wameamua kumwaga mboga, ili wananchi wayajue.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaona sawa huo uuaji na utekaji unaoendelea? sijakuelewaHahahaha nafurahi sana kusikia hii habari, mkome kabisa
Utekaji na uuaji inauhusiano gani na Utekaji na uuaji? Hebu kuwa na akili japo kidogoHata useme nini wewe mbowe ni mkabila
Baba mlimsingizia Dkt Magufuli ndiye aliyekuwa ana ratibu utekaji na mauaji na mkampachika jina ni muuaji etc, ila wajanja tukawaambia hicho kilikuwa kikundi cha wahuni wahuni waliotaka kuharibu image na taswira ya Dkt Magufuli kwa sababu ya utendaji wake. Sasa mnayaona yakitokea na ninyi mnaanza kupiga kelele na Dkt Magufuli tangu 2021 hayupo.Unaona sawa huo uuaji na utekaji unaoendelea? sijakuelewa