Wamejulikanaje?Hatimae wasiojulikana wamejulikana.
Kawataja watuhumiwa wa kuteka watu na namba zao za simu.Wamejulikanaje?
Duuu wamevumilia wamechokaKawataja watuhumiwa wa kuteka watu na namba zao za simu.
Mbowe kasema, "liwalo na liwe."Duuu wamevumilia wamechoka
Mbowe ameshusha hadhi ya chama kinachojiita Cha kidemokrasia
View: https://www.youtube.com/live/JGCNth0mHCoMwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe anatoa tamko la chama hiko juu ya masuala mbalimbali yanayoendelea nchini Tanzania.
Kinywa cha muuza k hakiwezi kutamka laa maana zaidi ya ushetani tu.Hahahaha nafurahi sana kusikia hii habari, mkome kabisa maana mlishangilia sana kifo cha Dkt Magufuli.
View: https://www.youtube.com/live/JGCNth0mHCoMwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe anatoa tamko la chama hiko juu ya masuala mbalimbali yanayoendelea nchini Tanzania.
Wataishitaki kwa wapiga kuraSwali la msingi Serikali isipotekeleza mtafanyaje?
Hajaongelea mashiko?