Freeman Mbowe: Wakifanya uhuni 2020 kama waliyofanya kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2019 mpatanishi atakuwa Katibu wa UN

Freeman Mbowe: Wakifanya uhuni 2020 kama waliyofanya kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2019 mpatanishi atakuwa Katibu wa UN

Acha. Hayo wewe... Yaani Ccm wanao jua kusoma na kuandika elimu ya darasa la nne wanajua kujaza form kuliko wapinzani ambao wengi wana elimu zao? /usitake watu wacheke.
Swala ni rahisi sana, atowe pesa za semina kwa wagombea wake ili wasirudie makosa waliofanya 2019. Vinginevyo ni kutakina ubaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juzi kataka maridhiano, leo vitisho.
IMG_20191212_101229.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii kauli kali sana, ange subiri ushauri wake wa maridhiano ujibiwe kwanza. Kweli tume choka uhuni wa olisi na tume ya uchaguzi kuwa beba Ccm ila tusiombe kusuluhishwa na UN

Sent using Jamii Forums mobile app
kilichowapeleka ccm kirumba ni nini? tena kaitwa akaongea kienyeji tu hata salamu ya chama chake hakuikumbuka, bora lipumba alianza na hakiiiii, ingawaje hakuna aliyeitikia
 
Hizo siyo kauli za kutoa wakati huu ambapo yete mwenyewe amependekeza kuwepo kwa maridhiano, halafu hata majibu hakapewa anaanza kutoa kauli za vitisho na za kitoto kuasi hicho.
Naziita kuwa ni kauli za kitoto sababu wote tunajia hawana ueezo wa kufanya lolote la kupelekea UN kuingilia kati.
Kwanza huyo anayemtishia hayo yupo wapi?
Amesema ikiwa watafanya uhuni kama walivyofanya kwenye serikali za mitaa. Soma na uelewe kinyume chake ikiwa hawakufanya na mambo yameenda sawa haitafika huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo siyo kauli za kutoa wakati huu ambapo yete mwenyewe amependekeza kuwepo kwa maridhiano, halafu hata majibu hakapewa anaanza kutoa kauli za vitisho na za kitoto kuasi hicho.
Naziita kuwa ni kauli za kitoto sababu wote tunajia hawana ueezo wa kufanya lolote la kupelekea UN kuingilia kati.
Kwanza huyo anayemtishia hayo yupo wapi?
Siyo kila siku ni Jumapili
 
Hao ni wale wachache wanaokula hela ya zulma
Huyu jamaa kwa mahaba aliyokuwa nayo kwa Chama cha Mapinduzi angeyaelekeza kwenye ndoa yake basi hiyo isingevunjika au mahaba hayo angeyaelekeza kwenye kuhustle kutafuta pesa jamaa angekuwa milionaire
 
True, ila akisha andika posti nyingi kuna kada anafadhili, anachokifanya anascreen shot zile meseji halafu anapeleka kwa kada (halafu anamwambia nimewakomesha) mpunga unatoka ndio maana kuna kipindi anapost uharo wa ajabu i was there.
Tofauti kabisa na vijana wa upinzani ambao wana kiu ya haki.
 
Back
Top Bottom