MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Read to understand not to respond.Hizi ni ramli zako tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Read to understand not to respond.Hizi ni ramli zako tu
Swala ni rahisi sana, atowe pesa za semina kwa wagombea wake ili wasirudie makosa waliofanya 2019. Vinginevyo ni kutakina ubaya.
Unacheza na akili za watu, unajipanga na uchaguzi kukiwa na tume ileile ya uchaguzi. Hatua ya kwanza ingekuwa kudai TUME HURU. Ilikuwa rahisi kwako kutangaza wagombea wote waliosalia kwenye serikali za mitaa wajitoa, leo macho yote uchaguzi 2020, umemsahau Akwilina. TUME HURU! TUME HURU
kilichowapeleka ccm kirumba ni nini? tena kaitwa akaongea kienyeji tu hata salamu ya chama chake hakuikumbuka, bora lipumba alianza na hakiiiii, ingawaje hakuna aliyeitikiaHii kauli kali sana, ange subiri ushauri wake wa maridhiano ujibiwe kwanza. Kweli tume choka uhuni wa olisi na tume ya uchaguzi kuwa beba Ccm ila tusiombe kusuluhishwa na UN
Sent using Jamii Forums mobile app
Yupo bize kuhalalisha uenyekiti wake wa kudumu, hawezi kumbuka juzi alienda kueleza ulaziama wa maridhianoHii kauli kali sana, ange subiri ushauri wake wa maridhiano ujibiwe kwanza. Kweli tume choka uhuni wa olisi na tume ya uchaguzi kuwa beba Ccm ila tusiombe kusuluhishwa na UN
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya majitu ya ccm kuelewa kinachosemwa na siku zimeishaMtatunga theories zote lakini ukweli ni kuwa kauli ya Mbowe kule Mwanza ilikuwa ni angalizo tu na siyo kuwa alijisalimisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure but when the oppressed shout out they must do it at the right time, place and odiance. Do yu think he shouted at the right time and place???"Oppressed people cannot remain oppressed forever"
"A riot is the language of an unheard"
Martin Luther King JR Voice.
Amesema ikiwa watafanya uhuni kama walivyofanya kwenye serikali za mitaa. Soma na uelewe kinyume chake ikiwa hawakufanya na mambo yameenda sawa haitafika huko.Hizo siyo kauli za kutoa wakati huu ambapo yete mwenyewe amependekeza kuwepo kwa maridhiano, halafu hata majibu hakapewa anaanza kutoa kauli za vitisho na za kitoto kuasi hicho.
Naziita kuwa ni kauli za kitoto sababu wote tunajia hawana ueezo wa kufanya lolote la kupelekea UN kuingilia kati.
Kwanza huyo anayemtishia hayo yupo wapi?
Siyo kila siku ni JumapiliHizo siyo kauli za kutoa wakati huu ambapo yete mwenyewe amependekeza kuwepo kwa maridhiano, halafu hata majibu hakapewa anaanza kutoa kauli za vitisho na za kitoto kuasi hicho.
Naziita kuwa ni kauli za kitoto sababu wote tunajia hawana ueezo wa kufanya lolote la kupelekea UN kuingilia kati.
Kwanza huyo anayemtishia hayo yupo wapi?
Sijui unafanyaga haya kwa maslah ya nani, jaribu kufikiria basi kizazi chako utakachokiacha duniani. Kitabaki kwenye nchi ya namna ganiHahaha walisema watamshitaki Kikwete Mahakama ya kimataifa
Leo hii Kikwete yupo anakula pension taratibu
Hawa watu wamekuwa bongo mobe
Kauli ya kikulima!! Uncivilized statement!!Safari hii asijifiche nyuma ya watoto wa watu..
Akae mbele pale ili tumuonyeshe kuwa hii nchi haiwezi zamishwa shimoni na kundi la. Ngedere wa kaskazini..
Viva Magufuli
Hao ni wale wachache wanaokula hela ya zulmaSijui unafanyaga haya kwa maslah ya nani, jaribu kufikiria basi kizazi chako utakachokiacha duniani. Kitabaki kwenye nchi ya namna gani
Huyu jamaa kwa mahaba aliyokuwa nayo kwa Chama cha Mapinduzi angeyaelekeza kwenye ndoa yake basi hiyo isingevunjika au mahaba hayo angeyaelekeza kwenye kuhustle kutafuta pesa jamaa angekuwa milionaireHao ni wale wachache wanaokula hela ya zulma
True, ila akisha andika posti nyingi kuna kada anafadhili, anachokifanya anascreen shot zile meseji halafu anapeleka kwa kada (halafu anamwambia nimewakomesha) mpunga unatoka ndio maana kuna kipindi anapost uharo wa ajabu i was there.Huyu jamaa kwa mahaba aliyokuwa nayo kwa Chama cha Mapinduzi angeyaelekeza kwenye ndoa yake basi hiyo isingevunjika au mahaba hayo angeyaelekeza kwenye kuhustle kutafuta pesa jamaa angekuwa milionaire