Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe, Zitto Kabwe, Godbless Lema na Boniface Jacob waachiwa kwa dhamana

Makosa ya ugaidi yana dhamana, hawa jamaa vipi tena!?
 
Mabeberu mabeberu,
Beberu alipokohoa tu wamewaachia, case ugaidi ina zamana?
 
CHADEMA waendelea kucheza ngoma yetu hahahaha okey next week tutawaweka tena tusubilie tamko la Madasca😂🤣😂🤣😂🤣😂😂🤣😂 wakileta fyoko tunawakamata tena
 
Kwa mara ya kwanza Magaidi yapata dhamana Tanzania
 
Huku ni kuwatia kizuizini wapinzani na siyo mahabusu. Hili ni zoezi haramu la muendelezo wa kujaribu kuumaliza upinzani baada ya kugundua ushindi batili kupitia kura za maruhani bado hazijaweza kuzima upinzani uliopo mioyoni mwa waTanzania na sasa wanakwenda kujaribu kutishia nyoyo za waTanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…