Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Hakuna Mungu, acha kuamini kila unachoambiwa na wapotoshaji. Vitabu vilivyoandikwa na primitives miaka 4000 uliyopita wewe unaviamini? Ni maneno mangapi yametolewa na kuingizwa ndani yake? Ni vingapi vimewekwa humo kusaidia kisiasa makafiri wa zama kama huyu Magu?Ningekua mimi ni Mungu yani Magufuli angenitambua!
Huwezi ninyanyasia watu wangu kwenye Nchi yao halafu unaniletea unafiki kwenye nyumba yangu ya Ibada na huku mikono yako imejaa damu zisizo na Hatia. Ningemnyoosha haswa.
Bahati yake mimi siyo Mungu.
Ulikuwa unaonelea raha wenzio wakikaa rumabde sio.Dikteta ameona aibu kuapishwa watu wakiwa rumande
Maewkani webyewe wanahaha na uchaguzi wao mkui si kidogoNi baada ya kutishwa na Marekani, mashetani wakubwa hawa.
wata report siku ambayo ndiyo ya kuapishwa kwa raisi.sasa watashirikije sherehe za kuapishwaBREAKING: MBOWE NA WENZAKE WAACHIWA KWA DHAMANA
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe na viongozi wenzake waliokuwa wamekamatwa na Polisi kwa tuhuma za kuandaa maandamano kupinga mchakato wa Uchaguzi Mkuu wameachiwa kwa dhamana - Mwanasheria wao ameithibitishia JamiiForums
View attachment 1618770
View attachment 1618769
View attachment 1618771
UtajijuMaewkani webyewe wanahaha na uchaguzi wao mkui si kidogo
Kama kawq. Na wewe uliandamana kwenye keyboard tu ukaacha wenzio waozwe jelaNa j2 utamwona kanisani anapokea Sakramenti takatifu
Mpuuzi weweUlikuwa unaonelea raha wenzio wakikaa rumabde sio.
Kuachiliwa ni habari njema
Hata Mandela alijificha Tanzania, ulitaka muniue?Kama kawq. Na wewe uliandamana kwenye keyboard tu ukaacha wenzio waozwe jela
Unataka tuuliwe?Na sisi raia tumezidi uoga wa kifala
Ya nyumba ya kijani sidhani kama kuna usalama mle!! One Man VoiceMagaidi wamejazana huko cc lakni anajidai hawaoni, hivi wale waliomuwekea sumu bwana mangula walishakamatwa ?
Anza sasa mkuuNo blood no changes
Beberu hawezi kutuletea changes tunazotaka kama tunaogopa vifo
Sawa mkuuNimeshaanza
Mabeberu sio watu wazuri!Kwa nini? Arrrrgh, ...
Ni kweli wamerakani wamesaidia bila hivyo wangeendelea tu kuwashikiliaNi baada ya kutishwa na Marekani, mashetani wakubwa hawa.
Wana windana vibaya snaWanaccm hawawezi kuachiana hata maji ya kunywa kwa jinsi walivyo na roho mbaya wao kwa wao
πππNa j2 utamwona kanisani anapokea Sakramenti takatifu
πππKwa nini? Arrrrgh, ...
Na wala huwezi kuwa Mungu.Ningekua mimi ni Mungu yani Magufuli angenitambua!
Huwezi ninyanyasia watu wangu kwenye Nchi yao halafu unaniletea unafiki kwenye nyumba yangu ya Ibada na huku mikono yako imejaa damu zisizo na Hatia. Ningemnyoosha haswa.
Bahati yake mimi siyo Mungu.