Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe, Zitto Kabwe, Godbless Lema na Boniface Jacob waachiwa kwa dhamana

Baada ya mabeberu kuandika twitter
"we mbuzi waachie huru mbuzi wenzako"
Leo wameachiwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamani mwenzenu Tundu Lisu ana hamu ya kwenda kwao Belgium, wenzenu wame-miss kwa siku nyingi. Ile shughuli ukishazoea huwezi kuiacha jamani mswalie mtume! Kuweni na huruma.
Na wewe unaamini umeandika kitu kwenye jamvi la GT? Pole sana, Embicile ana afadhali
 
Shime shime, turudi kwenye jambo letu sasa la MAANDAMANO YASIYO NA KIKOMO hadi kieleweke.
 
Continue to rest in eternal peace mwl JK Nyerere missing you babu huku mambo magumu sana yani siku ukiamka hata kwa bahati mbaya tu unaweza usiamini yanayi endelea , ile keki ulio iacha inaliwa kwa ubaguzi sana, na kwaulinzi mkali ole wao waandishi na mafarisayo...
 
Inatakiwa waongeze jitihada ili vijana wao ambao nao wako ndani waachiwe. Vijana wa Bavicha, Mdude n.k. wote wanastahili kupiganiwa kama viongozi walivyopiganiwa.

Amandla...
 
Askari wa hapo Darisalama alituambia Jana tarehe mbili kwamba hao viongozi wa vyama vya upinzani wamekamatwa kwa kupanga maandamano na ugaidi.

Makosa ya ugaidi kwa inchi yetu hayana dhamana. Je, kwanini hawa wanaachiwa? Au tuhuma za ugaidi yalikua makosa ya kutunga?

Au tumeogopa kelele za mabeberu?
 
Watanzania zaidi ya 80% waliompigia kura Magifuli naamini wangependa hilo kundi la viongozi wabinafsi na wenye uchu wa madaraka kwa njia yoyote ile, wangefunguliwa mashtaki ya uhaini
 
Mkuu maelezo mengi yanini . kwa Mara ya kwanza tuliona marundo ya kura feki zilizotikiwa magufuli yakizagaa mitaani. Lini umewahi ona kitu kama hicho kabla
 
Hapo bado hujatambua huyo Mungu hayupo tu?
 
Hapo bado hujatambua huyo Mungu hayupo tu?
Mungu yuko haijalishi hoja na matukio ya kumpinga yako kiasi gani. Mambo mengine usihitaji uthibisho maana ndicho unachotakaga.

Tuendelee na siasa,

Tupe updates za hapo USA kuhusu uchaguzi, Biden hapiti kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…