Originally Posted by Ibrah
Maxence,
Lakini naomba nikufahamishe kidogo kuhusiana na alama ya nyoka anayening'inia kwenye mti. Nyoka yule anayening'inia kweny mti kwanye logo ya Muhimbili ni replication ya kwenye Biblia baada ya Musa kumwinua nyoka wa shaba na kumtundika mtini ambapo kila mtu aliyeng'atwa na nyoka za sumu zilizotumwa kuwaua Waisraeli baada ya kuabudu sanamu badala ya Mungu na kufanya uzinzi pale jangwani. Kila mtu aliyeng'atwa na akamwangalia nyoka wa shaba aliyetundikwa mtini alipona.
Nadhani hiyo ndiyo rationale ya yule nyoka kwenye logo ya Chuo cha Tiba Muhimbili.
Yule aliye kwa logo ya Muhimbili si nyoka ni mnyoo aitwae Drancuculus medinensis na amechangia kwa kiasi kikubwa utafiti na development katika nyanja ya tiba.
We need not to connect unknown dots to make out a news. And plaese again please! Research before pasting or downloading your misinformation from your brain to this holy forum
Thanks
Haihusiani na mambo au myth za kwenye Biblia .
Snake on stick symbol kwenye medical schools zote na Pharmaceutical Organizations pamoja na Hospitals ,simply ina maanish
^Knowledge and Healing Power^.
Note: Snake Venom Protein can be used in medicine for treatment,such as stabilizing high blood pressure kwa kwenda ku inhibit enzymes inayoitwa Angiotensin Converting Enzymes ,ndiyo ilikua ikitumika namna hiyo .Pia inapunguza incidence ya magonjwa kama stroke,heart failure,diabetes etc etc .
Hayo mambo ya Musa na Waisrael infact sipingani nayo ,yamekaa kiimani
Zaid ,Imaginative .
But the truth is hiyo symbol haina Uhusiano na Biblia wala myths za kwenye dini.
Simply inamaanisha
Knowledge and Healing Power ,utaiona hiyo symbol
Kwenye pharmaceutical organisations including Pharmacies ,kwenye medical colleges,Hospital etc etc .It Is all about Medicine .