Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

Status
Not open for further replies.
CanularDeTaxil.jpg


Hii ndiyo main Sign naweza sema. Angalia ina hivi:

Mwenge... Nyoka... Mwezi... Angalia miguu... Angalia pembe... Angalia tumboni... Angalia kila sehemu. Kuna issue zaidi...

View attachment 388891
Huu ndiyo ukumbi wa Freemason uliopo Dar es Salaam, ambao ndio wa kwanza kabisa kutumiwa na Bunge la Tanzania.


Ukumbi huu upo Maeneo ya Mjini Posta jijini Dar es Salaam.

Nani aliwapa hao jamaa huo ukumbi wa bunge?
 
Wale wanaopinga uwepo wa mungu, (sio wasiomuamini. Mnaliongeleaje hili?
 
habari na maarifa mengi tunayoyafahamu kuhusu dunia na mambo yake ni ubatili na uongo.mengi yamefichwa kwa sababu wanazozijua wao walioamua iwe hivo.

baadhi ya maarifa kamwe huwezi fundishwa shuleni au vyuoni kwasababu ni mwiko( forbidden) kwa baadhi ya binadam wa kawaida kufahamu.

ili kufaham maarifa hayo,itakubidi ujiunge na jumuiya za siri kama Freemason, illuminat nk.

huko nako kuna masharti magumu au Ngazi(stages) ambazo inabidi uzivuke ili uweze kufaham maarifa hayo zaidi na zaidi.
 
habari na maarifa mengi tunayoyafahamu kuhusu dunia na mambo yake ni ubatili na uongo.mengi yamefichwa kwa sababu wanazozijua wao walioamua iwe hivo.

baadhi ya maarifa kamwe huwezi fundishwa shuleni au vyuoni kwasababu ni mwiko( forbidden) kwa baadhi ya binadam wa kawaida kufahamu.

ili kufaham maarifa hayo,itakubidi ujiunge na jumuiya za siri kama Freemason, illuminat nk.

huko nako kuna masharti magumu au Ngazi(stages) ambazo inabidi uzivuke ili uweze kufaham maarifa hayo zaidi na zaidi.
Illuminati na freemason wana agenda tofauti.illuminati cyo religious fanatics
 
Habari wana jamii,
Kuna yeyote anajua kuhusu utaratibu au mchakato wa kujiunga na hawa wajenzi huru,na Ni nini faida zake na changamoto zake kwa ujumla. Mwenye ufahamu atujuze tafadhali.
 
Kwa uelewa milionao na udadisi niliofanya coz niliwahi kuwaza maana ya nyoka kuwapo hasa kwenye mabango ya hospils na muhimbili, niliambiwa maana yake imetolewa kwenye bible pale waisrael walipoumwa na nyoka jangwani on their way kwenye nchi ya ahadi, ndipo musa alipoambiwa atengeneze nyoka wa dhahabu na yeyote alieumwa na nyoka atakapomtazama atapona, is it real a connection to huyo anayewekwa kwenye mabango ya hospitals?

Haihusiani na mambo au myth za kwenye Biblia .

Snake on stick symbol kwenye medical schools zote na Pharmaceutical Organizations pamoja na Hospitals ,simply ina maanisha

^Knowledge and Healing Power^.

Note: Snake Venom Protein can be used in medicine for treatment,such as stabilizing high blood pressure ,kuna enzymes inaitwa Angiotensin Converting Enzyme (ACE),ambayo ina convert angiotensin I to angiotensin II which infact leads to increasing blood pressure.So hii snake venom ilikua inatumika kama ACE Inhibitor kwa ajili ya ku stabilize blood pressure .

Pia snake venom inauwezo wa kupunguza incidence of stroke ,kidney disease ,heart failure ,diabetes and so forth .

Kwahiyo hiyo symbol ya snake kwenye medical schools and pharmacies simply ni knowledge and healing power .

Anyway ,ukija kwenye mambo ya kiimani imani,myths za kwenye dini ,it might make sense kwa wenye imani hizo.
 
Originally Posted by Ibrah
Maxence,



Lakini naomba nikufahamishe kidogo kuhusiana na alama ya nyoka anayening'inia kwenye mti. Nyoka yule anayening'inia kweny mti kwanye logo ya Muhimbili ni replication ya kwenye Biblia baada ya Musa kumwinua nyoka wa shaba na kumtundika mtini ambapo kila mtu aliyeng'atwa na nyoka za sumu zilizotumwa kuwaua Waisraeli baada ya kuabudu sanamu badala ya Mungu na kufanya uzinzi pale jangwani. Kila mtu aliyeng'atwa na akamwangalia nyoka wa shaba aliyetundikwa mtini alipona.

Nadhani hiyo ndiyo rationale ya yule nyoka kwenye logo ya Chuo cha Tiba Muhimbili.





Yule aliye kwa logo ya Muhimbili si nyoka ni mnyoo aitwae Drancuculus medinensis na amechangia kwa kiasi kikubwa utafiti na development katika nyanja ya tiba.

We need not to connect unknown dots to make out a news. And plaese again please! Research before pasting or downloading your misinformation from your brain to this holy forum

Thanks




Haihusiani na mambo au myth za kwenye Biblia .

Snake on stick symbol kwenye medical schools zote na Pharmaceutical Organizations pamoja na Hospitals ,simply ina maanish

^Knowledge and Healing Power^.

Note: Snake Venom Protein can be used in medicine for treatment,such as stabilizing high blood pressure kwa kwenda ku inhibit enzymes inayoitwa Angiotensin Converting Enzymes ,ndiyo ilikua ikitumika namna hiyo .Pia inapunguza incidence ya magonjwa kama stroke,heart failure,diabetes etc etc .

Hayo mambo ya Musa na Waisrael infact sipingani nayo ,yamekaa kiimani
Zaid ,Imaginative .

But the truth is hiyo symbol haina Uhusiano na Biblia wala myths za kwenye dini.

Simply inamaanisha

Knowledge and Healing Power ,utaiona hiyo symbol
Kwenye pharmaceutical organisations including Pharmacies ,kwenye medical colleges,Hospital etc etc .It Is all about Medicine .
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom