jorochere95
JF-Expert Member
- Oct 27, 2015
- 294
- 152
"What u believe in can either make u or destroy u" mm siamini ila ww unaamini kwa hivo utanaswa ww mwenyewe,mm siwajui ,,,,!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unawezaje kuandika mambo yao wakati wao ni jamii ya siri?[emoji12]Wangapi wangependa nianze kuzungumzia juu ya historia, alama, na mambo mengine mengi juu ya Freemason?
![]()
Hii ndiyo main Sign naweza sema. Angalia ina hivi:
Mwenge... Nyoka... Mwezi... Angalia miguu... Angalia pembe... Angalia tumboni... Angalia kila sehemu. Kuna issue zaidi...
View attachment 388891
Huu ndiyo ukumbi wa Freemason uliopo Dar es Salaam, ambao ndio wa kwanza kabisa kutumiwa na Bunge la Tanzania.
Ukumbi huu upo Maeneo ya Mjini Posta jijini Dar es Salaam.
Illuminati na freemason wana agenda tofauti.illuminati cyo religious fanaticshabari na maarifa mengi tunayoyafahamu kuhusu dunia na mambo yake ni ubatili na uongo.mengi yamefichwa kwa sababu wanazozijua wao walioamua iwe hivo.
baadhi ya maarifa kamwe huwezi fundishwa shuleni au vyuoni kwasababu ni mwiko( forbidden) kwa baadhi ya binadam wa kawaida kufahamu.
ili kufaham maarifa hayo,itakubidi ujiunge na jumuiya za siri kama Freemason, illuminat nk.
huko nako kuna masharti magumu au Ngazi(stages) ambazo inabidi uzivuke ili uweze kufaham maarifa hayo zaidi na zaidi.
Kwa uelewa milionao na udadisi niliofanya coz niliwahi kuwaza maana ya nyoka kuwapo hasa kwenye mabango ya hospils na muhimbili, niliambiwa maana yake imetolewa kwenye bible pale waisrael walipoumwa na nyoka jangwani on their way kwenye nchi ya ahadi, ndipo musa alipoambiwa atengeneze nyoka wa dhahabu na yeyote alieumwa na nyoka atakapomtazama atapona, is it real a connection to huyo anayewekwa kwenye mabango ya hospitals?
Originally Posted by Ibrah
Maxence,
Lakini naomba nikufahamishe kidogo kuhusiana na alama ya nyoka anayening'inia kwenye mti. Nyoka yule anayening'inia kweny mti kwanye logo ya Muhimbili ni replication ya kwenye Biblia baada ya Musa kumwinua nyoka wa shaba na kumtundika mtini ambapo kila mtu aliyeng'atwa na nyoka za sumu zilizotumwa kuwaua Waisraeli baada ya kuabudu sanamu badala ya Mungu na kufanya uzinzi pale jangwani. Kila mtu aliyeng'atwa na akamwangalia nyoka wa shaba aliyetundikwa mtini alipona.
Nadhani hiyo ndiyo rationale ya yule nyoka kwenye logo ya Chuo cha Tiba Muhimbili.
Yule aliye kwa logo ya Muhimbili si nyoka ni mnyoo aitwae Drancuculus medinensis na amechangia kwa kiasi kikubwa utafiti na development katika nyanja ya tiba.
We need not to connect unknown dots to make out a news. And plaese again please! Research before pasting or downloading your misinformation from your brain to this holy forum
Thanks
Wamaanisha DELTA FORCE au?DELTA neno hili litatawala hivi karibu.