Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafadhalini wandugu msichanganye kabisa uislam na mambo ya yahaya, yahaya ni m2mwa wa shetani. na shetani ni adui mkubwa wa uislam.
KUna mason wa Tanzania wakiongozwa na Sir Andy Chande na mmojawapio wa memba maarufu ni.. u guessed it Benjamin William Mkapa.
Kuhusu alama ya vidole. Naona watu mnachanganya alama mbili zisizohusiana ingawa zinaoneshwa vile vile.
Kwa wanamuziki wa Rock na macelebrity mara nyingi alama hiyo inawakilisha mambo yale ya kishetani kutokana na miziki ya bendi za rock ambazo zilikuwa zinadaiwa zina maneno ya kishetani, na hivyo wale wanamuziki walipoanza kutukuza sifa hiyo ya ushetani wakawa wanatumia alama ya pembe za kishetani.
Kwa wale walioko Texas alama hiyo ya vidole uhusiana na timu ya mpira ya Chuo Kikuu cha Texas ambayo hujulikana kama "Texas Longhorns". Ukienda hata kesho kwenye mechi zao utawasikia wakiimba "Hook em horns" Long horns na wakinyanyua alama za pembe za ng'ombe.
Bush anatoka Texas. Picha ambayo inaonesha hapa ya Bush ni wakati bendi ya Chuo Kikuu cha Texas ilipokuwa ikipita mbele ya Rais Bush baada ya kuapishwa kule Washington DC. Na kwa watu wa Texas where Texas is Bigger than America.. usishangae kuwakuta wakisalimiana kwa alama hiyo ya "hook em horns".. !
Natumaini hii itasaidia angalau kwenye angle hiyo.
Maxence,
Asante sana kwa hii thread juu ya hawa Mashetani. Nimeshtushwa na salamu ya Rais Bush ambayo ni salamu za Kishetani yaani kukunja vidole viwili na kunyoosha vingine. Duh, nilikuwa sijui kuwa Rais Bush naye ni Satanist kama alivyo Michael Jackson.
Lakini naomba nikufahamishe kidogo kuhusiana na alama ya nyoka anayening'inia kwenye mti. Nyoka yule anayening'inia kweny mti kwanye logo ya Muhimbili ni replication ya kwenye Biblia baada ya Musa kumwinua nyoka wa shaba na kumtundika mtini ambapo kila mtu aliyeng'atwa na nyoka za sumu zilizotumwa kuwaua Waisraeli baada ya kuabudu sanamu badala ya Mungu na kufanya uzinzi pale jangwani. Kila mtu aliyeng'atwa na akamwangalia nyoka wa shaba aliyetundikwa mtini alipona.
Nadhani hiyo ndiyo rationale ya yule nyoka kwenye logo ya Chuo cha Tiba Muhimbili.
Freemasons are just another bunch of guys deceived to believe in yet another false religion.
The reason I believe, many people are after them is a deeper question "who is in control?",
looking at all these disasters, shakings, et al.
Me nisaideie nataka kujiunga jamani na hao watu.tafadhali anayejua njia za kujiunga anambie na anipe maelezo
Dan brown the novelists and modern gnostic...hahaha you must be kidding!To know more about their symbolism and their interpretation Read a book called The Lost Symbol --by Dan Brown