Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

Status
Not open for further replies.
Tafadhalini wandugu msichanganye kabisa uislam na mambo ya yahaya, yahaya ni m2mwa wa shetani. na shetani ni adui mkubwa wa uislam.
 
Tafadhalini wandugu msichanganye kabisa uislam na mambo ya yahaya, yahaya ni m2mwa wa shetani. na shetani ni adui mkubwa wa uislam.

kwa faida ya jf nilikuwa nimeongezea kwenye orodha ya freemansonic elements kuwa hata misikiti na baraghashia zina ishara hizo
 
ni kweli kabisa, mbona hata misikiti ina alama za freemasons lakini hajataja?
 
Political opposition

Regular Freemasonry has in its core ritual a formal obligation: to be quiet and peaceable citizens, true to the lawful government of the country in which they live, and not to countenance disloyalty or rebellion. A Freemason makes a further obligation, before being made Master of his Lodge, to pay a proper respect to the civil magistrates. The words may be varied across Grand Lodges, but the sense in the obligation taken is always there. Nevertheless, much of the political opposition to Freemasonry is based upon the idea that Masonry will foment (or sometimes prevent) rebellion.

Source: Wikipedia
 
I don't know much about Freemanson.Sana sana nimekuwa nawasikia tu na kuona jengo lao hapa opposite na Kilimanjaro Kempinski.Ila huwa mara zote naliona tupu sijawahi hata kusogelea karibu.Wadau naomba habari zaidi ili niiweke imani yangu sawa.Ila wawe,freemason,au mwingine yeyote bado ni wa kule kule.Kwa imani yangu ni kuwa Hakuna Njia nyingine ya kwenda kwa Mungu ila ni kwa njia ya Kumwamini Yesu tu.
 
KUna mason wa Tanzania wakiongozwa na Sir Andy Chande na mmojawapio wa memba maarufu ni.. u guessed it Benjamin William Mkapa.
Kuhusu alama ya vidole. Naona watu mnachanganya alama mbili zisizohusiana ingawa zinaoneshwa vile vile.

Kwa wanamuziki wa Rock na macelebrity mara nyingi alama hiyo inawakilisha mambo yale ya kishetani kutokana na miziki ya bendi za rock ambazo zilikuwa zinadaiwa zina maneno ya kishetani, na hivyo wale wanamuziki walipoanza kutukuza sifa hiyo ya ushetani wakawa wanatumia alama ya pembe za kishetani.

Kwa wale walioko Texas alama hiyo ya vidole uhusiana na timu ya mpira ya Chuo Kikuu cha Texas ambayo hujulikana kama "Texas Longhorns". Ukienda hata kesho kwenye mechi zao utawasikia wakiimba "Hook em horns" Long horns na wakinyanyua alama za pembe za ng'ombe.

Bush anatoka Texas. Picha ambayo inaonesha hapa ya Bush ni wakati bendi ya Chuo Kikuu cha Texas ilipokuwa ikipita mbele ya Rais Bush baada ya kuapishwa kule Washington DC. Na kwa watu wa Texas where Texas is Bigger than America.. usishangae kuwakuta wakisalimiana kwa alama hiyo ya "hook em horns".. !


Natumaini hii itasaidia angalau kwenye angle hiyo.

Je Dr. Slaa naye ni mmoja wao?
 
Kuna mambo yanawachanganya watu wengi.
1. Je? Ni ugomvi kati ya waislam na wakisto?
2. Ni ugomvi kati ya waarabu na wazungu
3. Ni ukomvi wa kutaka au kukataa kutawala au kutawaliwa
4. Ni ugomvi wa raslimali?

Haya ni maswali huwa najiuliza mara ninaposikia vita dhidi ya ugaidi.
Kwa nini ukitaja ughaidi unamaanisha waarabu na wasomali? Kati ya wazungu na waarabu kwa ujumla wao nani ameua watu wengi kuiko mwenzake? Unajua sisi weusi ni ma-expert kwenye kuuana wenyewe. Ukichunguza yote kuna kazi ya masons. Hii ndiyo vita kuu tunayopaswa kupambana nayo. Kuna wakristo wengi wamedanganywa kwamba un inaongozwa na bibilia. Laiti wangejua ni biblia ya kishetani!! Eti marekani kupiga waarabu ni juhudi za kusambaza ukristo! Laiti wangejua ni njama za masons kufarakanisha waislam na wakristo ili lawama za waarabu ziugeukie ukristo ili masons wapate nguvu na ukristo uwe dhaifu! Mungu isaidie dunia yetu.
 
Maxence,

Asante sana kwa hii thread juu ya hawa Mashetani. Nimeshtushwa na salamu ya Rais Bush ambayo ni salamu za Kishetani yaani kukunja vidole viwili na kunyoosha vingine. Duh, nilikuwa sijui kuwa Rais Bush naye ni Satanist kama alivyo Michael Jackson.

Lakini naomba nikufahamishe kidogo kuhusiana na alama ya nyoka anayening'inia kwenye mti. Nyoka yule anayening'inia kweny mti kwanye logo ya Muhimbili ni replication ya kwenye Biblia baada ya Musa kumwinua nyoka wa shaba na kumtundika mtini ambapo kila mtu aliyeng'atwa na nyoka za sumu zilizotumwa kuwaua Waisraeli baada ya kuabudu sanamu badala ya Mungu na kufanya uzinzi pale jangwani. Kila mtu aliyeng'atwa na akamwangalia nyoka wa shaba aliyetundikwa mtini alipona.

Nadhani hiyo ndiyo rationale ya yule nyoka kwenye logo ya Chuo cha Tiba Muhimbili.

Maxence Sikubaliani kabisa na wewe kuhusu nyoka kwenye logo ya muhimbili kwa sababu muhimbili si chuo cha kidini. Hivyo uliyotuambia si kweli tafuta au ulizia kupata facts za kweli. Mimi sina
 
Freemasons are just another bunch of guys deceived to believe in yet another false religion.
The reason I believe, many people are after them is a deeper question "who is in control?",
looking at all these disasters, shakings, et al.
 
Freemasons are just another bunch of guys deceived to believe in yet another false religion.
The reason I believe, many people are after them is a deeper question "who is in control?",
looking at all these disasters, shakings, et al.

How do u know u are believing in the right religion?? You are in whatever religious denomination by default and most of the people you know are good according to your moral standards believe in the same. Hakuna anaejua ni dhehebu/dini gani ni sahihi na ipi sio sahihi.

Mimi swali langu bado liko palepale hivi na Dr. Slaa nae ni mmoja wao??
 
Me nisaideie nataka kujiunga jamani na hao watu.tafadhali anayejua njia za kujiunga anambie na anipe maelezo
 
ahsante mkuu ni muhimu kujua mambo haya kwani ndiyo dunia tunamoishi.........
 
Kwa hiyo ndiyo maana waislamu walishindwa na takibili yao juu ya bush alipovamia iraq?
 
@DMussa,

I don't believe in religions, I believe in relationship with God through Christ Jesus. Let me expoud my faith to clear some misunderstandig you might have. My faith say no one is morally good (gal 3:20), and that makes sense as at some point of time who have not lied, lusted after someone, hated someone...et al. My faith says we have offende infinitely holy God and we deserve infinity punishment. It futher says, infinity loving God came and took human form and paid ultimate price to restore us to God. Further more, whoever repents(feels sorry and makes u turn in his mind about his sinful ways), confesses Jesus and believe in his heart the death, and resurredtion of the Son of God, he have escaped the pending judgment.

That is basically what I believe. Why I think it is the only right? First miracle of fullfiled prophecies, second scientific facts present in advance given that the bible was written by large portion with normal people, medical facts in advance. The Bible also have answers that philosophers have searched soooo long, like the divinity of the Logos..and list goes on. Note that these things were written from thousands to hundreds of years before we actually "inverted" them or saw them happening.

@All who want to join,
jamaa wana msemo unaosema "to be one ask one". Inabidi utafute member akapeleke maombi yako, wayaprocess, wakikubaliana wote, unaruhusiwa. Hata hivyo siwashauri mwende huko gizani, kama unataka kuangaziwa, Yesu ni nuru ya ulimwengu

nadhani nimejaribu kujibu maswali niliyoulizwa!
 
hawa watu ni wabaya sana.

tafadhali ili kujua mengi zaidi kuhusu wao. wapi wametoka, wapi walipo, members wao maarufu duniani, nini wanafanya ili kuicontrol dunia naomba ugoogle wakeupproject kisha ujionee mambo. kama una pressure tafadhali usifungue.
 
Me nisaideie nataka kujiunga jamani na hao watu.tafadhali anayejua njia za kujiunga anambie na anipe maelezo

Huwezi kujiunga hivihivi. You must be invited by an existing member. Then they will have to vote whether to admit you or not.
My Boss is a member, aliniambia siku moja nilipomkuta na gazeti la Freemassonry, although he refuses the idea that they worship devil. He agrees that they have secrets which are known to members only, but he insisted that those secrets have nothing to do with religions or worshiping devils although he admitted that they do have several rituals they perform if you are to rise from one degree to another.

To know more about their symbolism and their interpretation Read a book called The Lost Symbol --by Dan Brown
 
To know more about their symbolism and their interpretation Read a book called The Lost Symbol --by Dan Brown
Dan brown the novelists and modern gnostic...hahaha you must be kidding!
Guys and girls,
Google is not safe place. In such serious things as this, and many others, authenticity of source matters.
Don't just google-and-get-it. Source matters.
Dan brown is one of unreliable source in anything but fictions :biggrin1:
 
its very interestin kindly wll lke 2 join them,how can i get intouch with those members so they can recormend me to their society bro maxence pls can u do someting!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom